raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Inashangaza aiseeeAskari akiona hela anawakana watanzania wenzake nchi yangu imeoza kila sehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza aiseeeAskari akiona hela anawakana watanzania wenzake nchi yangu imeoza kila sehemu
Me ni Yangaaaa 😎
kama kuna namna yoyote mwaga wese piga kiberitiAsante kwa Ushauri wako Mkuu, ila Kuchoma Moto Mhh mtihani huo, Nitafatilia khs RPC.
Good Sanaa upuuz Ni mwingi sanaaAiseeee Mimi huwa sivumiliagi huo Ujinga, Kuna NGO iliwahi kuwa kubwa sana sana Tanza-nia, nilichowafanya.......basi niishie hapa.
Mm Ni mkristo lkn unyanyazaji hpn kwa kweli tia kiberit hyo restaurant akili iwakae sawKuna mtu alitufanya watanzania kuwa MAZUZU, binafsi sio zuzu issue hii ndio utaelewa wazulu ni watu wa namna gani, burn burn burn hiyo restaurant yao next time hawatarudia ushenzi huo na watawahasidia wenzao kuwa watanzania sio wa kuchezewa haki zao, sasa unakimbilia huku kwenye soft touch kama mbwa koko, fight
Kesi yetu ilisikilizwa na Hakimu ambae ni Mtenda Haki na Tunashkuru Mungu tulishinda ila ndo amekata Rufaa mwisho wa mwezi huu tunarudi MahakamaniMahakama hawana namna na raia wake dhidi ya raia wa kigeni aiseeeee nchi hiiiii 🙂
Ndio mmeshindwa kukitia kiberiti haka kamgahawOkay Jina La Mgahawa ni “Le Maraheb Restaurant & More” upo Masaki/ Chole Road.
Nimeambatanisha Picha za Mgahawa hapo Chini[emoji1427]
Tukio Lilitokea January Mwishoni, Osterbay Police Askari wengi wanajua Mkasa wetu, pale Osterbay Police ukisema tu kesi ya wale Vijana 12 walionyimwa Mishahara yao na Bosi wao Mwarabu mwenye Mgahawa Masaki Chole Wanakumbuka!
Huyo kabla ya kufikishana mbali wafanyakazi ilitakiwa kama ni mshahara wa mwezi mmoja mumpige tukio kufidia mshahara wenu kila mtu alale mbeleKesi yetu ilisikilizwa na Hakimu ambae ni Mtenda Haki na Tunashkuru Mungu tulishinda ila ndo amekata Rufaa mwisho wa mwezi huu tunarudi Mahakamani
Wana Uraia wa Tanzania ila asili yao ni Yemen, wanazungumza Kiarabu na Kiswahili, Walikua na Mgahawa Mwanza Rock City Mall, Wametapeli Mishahara watu kibao mpaka Suppliers huko Mwanza wakakimbilia Dar. Pia Huyo Bosi wakike Familia yake ndio wamiliki wa Star Light Hotel Iliopo Kisutu, ila wengine wanasema Waliuza hio Star Light Hotel ndio wakafungua huo Mgahawa Wa Masaki.Poleni sana wewe na wenzako kwa mlichotendewa hii tabia imekuwa sugu sana ya wageni kuwanyanyasa wenyeji yote hii inatokana na serikali yetu kuwakumbatia awa wadudu dawa ni moja tu nahamanin kwa nguvu tuliyonayo sisi wana JF ili jambo tukiamua kulivaria njuga awa wadudu wanarudishwa kwao na nyie kupata stahiki zenu tuma picha za iyo restaurant na majina ya awa wadudu tuwanyooshe yani watu wametoka kwao uko kuna vita hakukaliki wamekuja kwetu tumewapokea alafu waje watunyanyase apa apa kwetu ...Guys we need to do something now.
Ndio Daftari lipo ila wanayo wao, Daftari ndio lilifanya Wakubali sisi tulikua waajiriwa Waoje mlikuwa mnasaini daftari la maudhurio wakati muongiapo kazini?naomba jibu mkuu,kama lipo fanya namna ulipate
Taja Mgahawa Jina La BossWewe n mjinga Sana
Umenyanyaswa
Umenyimwa stahiki zako
Lakin unatetea upuuzi wa kutoitaja hyo ofisi uliyokuwa unafanyia kazi
Endelea kunyanyaswa hvyo hvyo sababu ya ujinga wako
TAJA HUO MGAHAWA TUCHUKUE HATUA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mi akili zang iz za bangi nawasha ges iko kibanda ,Asante kwa Ushauri wako Mkuu, ila Kuchoma Moto Mhh mtihani huo, Nitafatilia khs RPC.