DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
We acha kabisa mi naumia sana roho aisee ao wana huruma sana na uy mlinz kam ni mbngo angeliwa kiboga aisee ,
 
Wee Ni nyama hakika ila Ni sawa inaumiza sna wakuda kutunyanyaza Bora iwe xenophobia sijui ila Bora iwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bomu zuri ni la mafuta ya taa kwenye chupa na utambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ameshatuma huko juu hamsomi uzi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
binafsi nina roho ya kizulu kabisa mtu niwe humble kwake alaf aninyanyase alooo niishie apaa
 
Kesi yetu ilisikilizwa na Hakimu ambae ni Mtenda Haki na Tunashkuru Mungu tulishinda ila ndo amekata Rufaa mwisho wa mwezi huu tunarudi Mahakamani
Mnapoteza muda hapo huyo anahonga pesa na hamtapata haki zenu hapo huyo malizaneni nae kitaa mnafeli wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HV huna hata picha ya huyo mpuuzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ameshatuma huko juu hamsomi uzi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu hamsomi Uzi vzr mm nimeona kataja mghaahwa mwanzoni mwa Uzi tu ila nashanga watu wakalazimisha kutaja mgahawa kila mar

Naona wanaomshauri wako tunduma huko au sumbawanga hawalijui hili jiji vzr kbsa kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hawa sio watanzania maana hawajui namna ya kuwa watanzania. Kiburi chao wanatakiwa kunyooshwa hawa. Adabu mbovu kama hizi mnacheka nao kivipi matako hao. Hela ni zao utu ni wenu, mtu acheze na vitu vyako ila asicheze na utu wako hata chembe.

Huyu tusimuachie hadi anyooshwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika masuala ambayo serikali inabidi iyatambue na iyatatue haraka ni ya unyanyasaji kwenye ajira hasa kutoka kwa watu wageni na hawa weupe.

Wengi wananyanyaswa kwa kulipwa mshahara mdogo, matusi, udhalilishaji lakini serikali yetu ni kama haijui haya yanatendeka hapa nchini. Intelijensia ilitakiwa itatue changamoto hizi zinazowakuta wananchi kila siku.

Hawa wangekuwa zambia au kenya sasa hivi na mgahawa wamefunga wamekimbia wenyewe nchi.
 
hamuwezi kumlia target huyo boss mkamvunja hata miguu?
 
Ndio Mkuu yule Mama katunyanyasa sana na Kutukana Matusi ya Nguoni halafu anajisifu kwamba Katufunga Jela na Hela zetu tumekosa. Natamani sana Wafanyakazi au Wateja wangemrekodi siku moja ili Jamii ione Ukatili wao.
Km mnajua ndo tabia Yake kwann Huwa hamrekodi?.
Ila ningekua mi ningemfurahisha hata nisingeenda huko polisi na angefunga shenz sn
Wanakuwa wanatumia manguvu ya Giza,(miungu Yao) ndo maana we ana nyodo
 
Hakuna watu makatili kama wa Yemen tena hao kwa ushirikina wanaongoza mkuu hapo pambaneni haswaa na pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…