Unawaza kula tu na kupiga umbeaTuliza spika kwa shemeji dada akisafiri ibanduliwe unataka ligi asubuhi njaa zinakusumbua macho hayana nguvu ya kusoma na ubongo kutafsiri kwakua njaa imekukaba uombe dada hela katafute mihogo kwanza ili akili zikae sawa now unaweza pandisha kichaa chako kila na hivi hujameza dawa basi tafrani
Ww unawaza kumfurahisha shemeji😆😆😆😆😆 akili ndogo chawa wa shemejiUnawaza kula tu na kupiga umbea
Jamaa anasikitisha sanaUnajua kupanic au unaropoka tu acha kudandia treni kwa mbele utagongwa
Oya mchiz habar za huko veta...Ila Najua tu hauko veta unachomela vyuma sehemu. Poa mwana naona Leo una bando, haya karibu, vp wenye masters walipwe/wasilipwe? endelea....Jamaa anasikitisha sana
Huyo ndio msomi wa mastazi hawezi hata kujenga hoja, mastazi my foot
Bora hata PhD ya Babu Tale inaleta tija pale wasafi
Huyo mwenzako 92 jerr ni mtoto wewe ni mkubwa sema tu unakula Sana majani ndo maana sometimes unakuwa na mizuka syo.Jamaa anasikitisha sana
Huyo ndio msomi wa mastazi hawezi hata kujenga hoja, mastazi my foot
Bora hata PhD ya Babu Tale inaleta tija pale wasafi
Sawa mtu mzima unaeshindana na shemeji yako kununua topaz za kunyolea ndevu utachokwa tafta kazi ufanyeIla wewe ni pomole sana, una akili za kitoto Sana.
Unamanisha nini unaposema atafanya nini Mkuu wangu?Nimeuliza mwenye Masters ya education atafanya nini Cha ajabu sana compared to mwenye degree ya education?
Uwezo wa kiutendaji anaanza kuuona boss/mwajiri. Yeye ndiye anatoa maelekezo ya kazi kwa mwajiriwa wake kisha anapima ufanisi wa utekelezaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe tuna watu wana mastazi mbona utendaji ni wa kiwango cha form 4 tuonyesheni kwanza uwezo wenu tuyaone mabadiliko ndipo muombe mishahara awamu ya sita tunalipa kulingana na unachokifanya
Nina msc finance na CPA TFanya practical kwa kwenda kusoma masters ndo utajua
Inamaana hata hao ma boss elimu zao ni kwenye vyeti hawajui kupima hata kiwango cha ufanisiUwezo wa kiutendaji anaanza kuuona boss/mwajiri. Yeye ndiye anatoa maelekezo ya kazi kwa mwajiriwa wake kisha anapima ufanisi wa utekelezaji
Mbona unaonekana mtoto halafu kusoma hupendi...hujui utaiathr hata familia yako haitapenda kusoma Kama ww, una uswahili mwingi sana Bora hata Da huslerKi bongo bongo tuendelee kulipana kwa kujuana na kwa level za uchawa basi hayo mambo ya elimu hayana manufaa wapo watu kibao wana elimu za chini ila wanaongoza kwa ubora wa kazi.
Kapigane vikumbo na dada yako kwenda kumfurahisha shemejiMbona unaonekana mtoto halafu kusoma hupendi...hujui utaiathr hata familia yako haitapenda kusoma Kama ww, una uswahili mwingi sana Bora hata Da husler
Kuwa na Masters haimaanishi nisikosoe ubora wa Masters za education za hapa Tanzania,Unakumbuka ulitoa hoja gani mpaka nikakwambia ufanye practical ya kusoma masters
Tanzania Masters zenye tija ni za Afya tu mostly hizi nyingine hamna kitu Cha maana sanaHuyu jamaa tatizo lake ni kubwa sana. Sasa watu kama hawa ni kuwafutia TU usajili kuokoa forum
Hivi hajui tofauti ya degree na masters ambazo kwa ligha pendwa ya kiswahili zinaitwa shahada na uzamili???
Aiseh wakati mojawapo kati ya hizo inamtengeneza wenzake bila shida
Aiseh!!!