TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi.
Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B sisi ambao tumeishi maisha ya mjini tulishazoea maisha haya kwamba jirani yenu ana miliki pikipiki au Gari asubuhi anawasha anasepa hakuna cha lift wala nini
Sasa upande huu wa mikoani shida ipo kwa watu ambao tunafanya nao kazi eneo moja. Nimekutana na mshikaji rika sawa na mimi na wote tukiwa wageni katika kituo tulichohamia sambamba tunaishi maeneo ya karibu kimakaiz ila ofisi zipo mbali. Mimi nina usafiri both Gari na pikipiki ila nikitaka kwenda job namchek twende au namkuta njiani namchukua huyo job (go and return ).
Tatizo moja lipo hapa jamaa huwa hajiongezi, siku alipe na siku isilipe na akilipa hatatoa 2000 kama ni pikipiki na kama gari 3,000/- hapo ni mwendo wa KM 32+ gari 1.8L na njia sio ya lami. Kilichonikera zaidi wiki 2 nyuma nimetoka kutengeneza pikipiki kwa almost tshs 200,000/- baada ya block na center cluch kufa lakini yeye alitoa 10,000/- na akaidai dah!
Mbaya zaid haitoi siku zote na akitoa anatoa kidogo sana na kikiharibika ni mimi.
Mimi kama binadamu nataka nimtue tuu kwa amani zote maana nishaona Watanzania hawezi hisani, mimi nimeweza kutumia vyombo vyangu vya usafiri zaid ya miaka 5 sasa bila ushirika wowote.
Mnaweza kuchangia mawazo au changamoto kama hizi.