Tunaomiliki usafiri na kukerwa na ambao tunawabeba lakini hawabebeki

Kwama ya 1.8L km32 ni buku 20 wese la go return, mkuu unalimia nyani, mchane huyo mwamba

Au anza tabia ya kuwahi unamuacha uone kama ataenda na ugoko
 
Ndio watu kama nyie ninao wajadili apo , ushawahi kukamatwa na traffic akiw urempa lift ajafunga mkand au kuvaa elements or any accident

You buy free for cost
Sawa kwakuatujadili bwana tajiri!!.
Ila unaonekana muda wako wa kumiliki kitu kinacho tumia mafuta ulikuwa bado sana umelazimisha ndio maana unawaza sana angalia usije pata pressure bure .
Yaani ununue gari utegemee mafuta akuchangie mwingine, kwahiyo asipo changia hautaenda kazini na gari lako? Au ndo wivu wa kiafrika tulio nao.

Mimi kama miezi minne iliyo pita nilihama kwenda kutafuta ridhiki mkoa x, kuna jamaa tunafanya shughuli pamoja, wakati nataka kurudi mkoa nilio na makazi kuangalia familia na yeye akasema anaenda huko huko anatafuta watu wa kumchangia mafuta.
Tukawa watu watatu tukasema sawa tutachangia mafuta, nauli ni 25,000 kwa bus ila tulipo fika kituo cha kuweka mafuta tukiwa tunampa 25,000 aligoma kuwa anataka 35,000, wote tukampa bila maneno kumbuka wote tunafanya shughuli sehemu moja.
Tulipofika njiani akaongeza abiria mwingine ambaye alitoa 20k tukabanana hivyo hivyo gari lenyewe ni Cc 1490.
Kwa mawazo yake alikuwa na akili kama yako kuwa hawa hawana magari.
Wiki mbili ziliyo pita mimi nilimpa lift siku ya ijumaa toka mkoa x na kurudi naye siku jumapili sehemu ya mihangaiko yetu ya kutafuta mkate, akabaki anajichekesha chekesha tu kuwa umeniokoa sana nilikuwa sina nauli mara sijui gari lake limefanyaje fanyaje, mimi nikiwa namchora tu, huku akiangali gari lina Cc zaidi ya 4000 ila ni diesel.
 
Sasa hivyo vyombo ni vya kwako au vya kwenu? Kwa hiyo unataka muwe mnagawana gharama za matengenezo?
 
Unavyo sema inaweZ kuw kweli ila nmekwambia nimetumia usafiri nkiwa najiendesh peke yangu 5-7 year's Soma vzr

Tatzo binadamu kila siku kubeban bila kujiongez kunachosha ,

Msaad wa mara moja sio mbaya
 
NILICHO ONANHAPA BADO WA TANZANIA WENGI WANAISHI KWENYE FIKRA FULANI KAMA
KUPENDA KUSAIDIW BILA KUJIONGEZ
/UKIBEBWA BEBEKA

-KWAMBA UKIMPA LIFT UNAPUNGIKIWA NINI
NAZAN WENGINE HATUELEW MAANA PRIVATE ,CLASSES VIP VVP HATUELEWI MAANA YAKE AU FAIDA ZAKE

-UMEONA WAPI MTU ANAEPEW LIFT KILA SIKU YA KAZINI NA STAFF MWENZAKE AMBAE HAJIONGEZ (LEVEL SAW YA MAISHA).

.ILA NAZN WENGI WANAOZANI NA ULIMBUKE WA GARI HAPAN KWAKUW 80% SAFAR ZA KAZI NATUMIA PIKPK NA GARI TANGU 2014 NILIANZ KUMILIK JAPO KWA KUACHIA ACHIA.
Kwani lazima umbebe?mpotezee wiki moja uone Kama ataacha kufika job😅 usiwe ndezi wewe sio godfather wake au Kama unamtunza Kama mkeo(excuse the language) fresh 😅
 
Sasa hivyo vyombo ni vya kwako au vya kwenu? Kwa hiyo unataka muwe mnagawana gharama za matengenezo?
Mwambie ila nilicho gundua anawivu sana tena usio kuwa na maana na unamuumiza yeye mwenyewe.
Je kabla ya yeye kuanza kumpa lift huyo mtu alikuwa hafiki kazini? Au akiacha kumpa lift huyo mtu atashindwa kufika kazini?.
Kama hataki kumpa lift amwambie live kuwa sitaki ukitaka kupanda chombo changu ulipie nauli.
 
Jamaa ni kupe kwa asili na hajistukii hivi mtu wa hivyo anaweza tunza family kweli?wanaitwaga chawa au kupe 😅😅😅
Ukimsoma mtoa mada amesema huwa anatoa mara moja moja kwahiyo sio kupe kivile. Kwa mawazo yangu huenda hiyo pesa anayo toa ndio nauli akitumia usafiri wa public. Ila mtoa maada anadai huyo jamaa achangie mpaka gharama za matengenezo ya vyombo vyake moto vikiharibika.
 
Mkuu sijabase kwenye Gari ni base kwenye running cost

Kila siku u-bebe mtu bure mnafanya kaz moja yaan umeona wap msaada kama huo yaan upew lift kila siku ya kwend kazin

Nmekwambia katk maeneo mengine ya kazi nimejiendesha peke angu kwa more than 5-7 years bila ushirik na mtu kwakuw nilikuw ninapotekea sina staff
Siku moja fanya kumpita tuone itakuaje
 
Ni Tshs 5000- 7000 hiyoo ni kwenda tuu,
Unataka kutuambia akitumia usafiri wa umma anatoa 5,000 mpaka 7,000 kwenda kazi?
Ngoja tufanye mahesabu
Siku moja = 7,000 *2= 14,000
Siku za kazi kwa mwezi kiwastani ni 23 mpaka 24, ila tufanye siku 23
Gharama ya usafiri kwa mwezi ni
23*14,000 = Tsh 322,000
Kama usafiri wa public anatoa 322,000.
Je wewe unaye tumia private si unafikisha 800,000 mpaka 1,000,000 kwa usafiri tu.
Hongera inaonekana ni mlipaji kodi mzuri kupitia mafuta.
 
Sisi ni binadamu na wote tunafanya kaz moja kila siku nimptie kum-beba na kurudsha had njia ya kwao atakama msaada inabd ujiongeze kias

Sawa ni binadamu, kama unaona anakukera mbona ni rahisi, kumuonesha msimamo wako, sasa utamlazimishaje kumtoa kwenye msimamo wake!?
Mimi naona unaogopa lawama kitu ambacho sioni kama utakiepuka kwa wanadamu.
 
Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi

Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B sis ambayo tumeish maisha ya mjin tulishazoea maisha haya kwamba jiran yenu ana milik pkpk au Gari asubuhi anawasha anasepa hakuna cha lift wala nn .

Sasa upande huu wa mikon shida ipo kwa watu ambao tunafanya nao kazi eneo moja. Nimekutana na mshikaj rika saw na mimi na wote tukiwa wagen katik kituo tulichoamia sambamba tunaishi maeneo ya karbu kimakaz ila ofis zipo mbali mimi na usafiri both Gari na pikpk ila nkitak kwend job namchek twend au namkuta njian namchukua huyo job (go and return ) Tatzo moja lipo hapa jamaa huwa ajiongez siku alipe na siku isilipe na akilpa ata toa 2000 kama ni pkpk na kama gari 3,000/- hapo ni mwendo wa KM 32+ gari 1.8L na njia sio ya Rami , kilichonikela zaid wik2 nyuma nimetoka tengeneza Piki almost tshs 200,000/- baada ya block na center cluch kufa lakn yeye alitoa 10,000/- na akaidai dah ,

Mbaya zaid haitoi siku zote na akitoa anatoa kidogo sana na kikiharibika ni mimi

Mimi kama binadamu natak nimtue tuu kwa amani zote maan nishaona Watanzania hawezi hisani mimi nimewez kutumia vyombo vyangu vya usafr zaid ya miaka 5 sasa bila ushirka wowote mnawez kuchangia mawazo au changamoto kama hizi
Upendo ni kitu kizuri sana.
Huwezi jua huyo rfk ako anapitia mangapi.
 
Oky brother
Kwani lazima umbebe?mpotezee wiki moja uone Kama ataacha kufika job[emoji28] usiwe ndezi wewe sio godfather wake au Kama unamtunza Kama mkeo(excuse the language) fresh [emoji28]
 
Tumeamishw mpishano wa wiki moja , awali alikuw karbu na kwake

Na ikitokea siku ameend ata dandia ya boss na boss nae kaanz ku maind hvyoo so na huwa nikijiongez kwa washirika wangu huw n mshtua na yeye oyo Twende

Najua atafk lakn kwa maumivu ni bora ni m turn mapema Hii ili baadae ajiongez kutafuta usafr wake
Mwambie ila nilicho gundua anawivu sana tena usio kuwa na maana na unamuumiza yeye mwenyewe.
Je kabla ya yeye kuanza kumpa lift huyo mtu alikuwa hafiki kazini? Au akiacha kumpa lift huyo mtu atashindwa kufika kazini?.
Kama hataki kumpa lift amwambie live kuwa sitaki ukitaka kupanda chombo changu ulipie nauli.
 
Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi

Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B sis ambayo tumeish maisha ya mjin tulishazoea maisha haya kwamba jiran yenu ana milik pkpk au Gari asubuhi anawasha anasepa hakuna cha lift wala nn .

Sasa upande huu wa mikon shida ipo kwa watu ambao tunafanya nao kazi eneo moja. Nimekutana na mshikaj rika saw na mimi na wote tukiwa wagen katik kituo tulichoamia sambamba tunaishi maeneo ya karbu kimakaz ila ofis zipo mbali mimi na usafiri both Gari na pikpk ila nkitak kwend job namchek twend au namkuta njian namchukua huyo job (go and return ) Tatzo moja lipo hapa jamaa huwa ajiongez siku alipe na siku isilipe na akilpa ata toa 2000 kama ni pkpk na kama gari 3,000/- hapo ni mwendo wa KM 32+ gari 1.8L na njia sio ya Rami , kilichonikela zaid wik2 nyuma nimetoka tengeneza Piki almost tshs 200,000/- baada ya block na center cluch kufa lakn yeye alitoa 10,000/- na akaidai dah ,

Mbaya zaid haitoi siku zote na akitoa anatoa kidogo sana na kikiharibika ni mimi

Mimi kama binadamu natak nimtue tuu kwa amani zote maan nishaona Watanzania hawezi hisani mimi nimewez kutumia vyombo vyangu vya usafr zaid ya miaka 5 sasa bila ushirka wowote mnawez kuchangia mawazo au changamoto kama hizi

Wewe ni mpumbavu kweli, si upaki ufembee au umwambie? Kwani unaendesha gari sababu yake au yako? Kwani ungeenda mwenyewe usige service?
 
Umeandika kwa lugha ya kihunihuni utadhani unawasiliana na masela wakuletee bangi getho kwako.Hapa upo uwanja mkubwa.Kuna baba,mama,wajomba,shangazi,shemeji na wapwa zako.Jitahidi lugha uandikayo iwe ina "akili"!Sichangii kitu.

Na wewe nenda, humu ni kwa kila mtu fala wewe
 
Back
Top Bottom