Umenikumbusha, hii ni sawa na mwanamke ale pesa zakooooo ale weeeee halafu unadai malipo. Then unaamua kumwaga. Su kuachana naye.
Naishi yumba yenye umeme na maji nashukuru Mungu. Jirani anaumeme hana maji na maji yanatoka kwa kalenda mwezi mara moja.
Maji yanapotoka watu ni kujaza, matanki, ndoo, majaba, masafuria, vikomne na vijiko.
Kwa wale wajuzi wa ma bilii ya maji huja full nondo.
Jirani angu nilimwambia achote tuu...simlipishi hata mia wkt mwingine anatoa kama kumi au elf tano.. siikatai
Kila maji yatokapo maona huruma...qnachota na vyombo vyake si vya kitoto. Full Ndoo,madumu na majaba nk.
Nakosa roho ya kunung'unika. Naikosa Kabisa. Sina usafiri naomba nije nimiliki, ila natamanynijifunze roho mbaya hasa kwenye vyombo vya moto kwa sabab ya risky nyingi.
Nahisi unaweza kubeba nyoka