Tunaomiliki usafiri na kukerwa na ambao tunawabeba lakini hawabebeki

Brother, em labda niwe upande wako, ila pia nikushauri baadae.
Yea,
Ni kweli, lift ni mara moja kama sio mara moja moja, kama ni kila siku inabidi ajiongeze. Kuna vitu ambavyo hata ukipita kule Quora unaona wanaandika, ikitokea mtu amekununulia Leo wewe kitu, wakati mwingine ikiwezekana nunua.
Labda cha kufanya kaa nae, funguka kama ni muungwana ataelewa, kama sio hafai tena hata kubebwa maana atakuwa ni mtu ambae hakumbuki fadhila.
Kubeba mtu kwenye pikipiki anaweza haribu zile foot rest, alipokalia panaharibika pole pole, ila pia kifizikia mzigo (load) imeongezeka hivyo nguvu (energy) kubwa zaidi itahitajika katika kutembeza chombo na hizo 60-90 kg zake. Hata akitupa 2k baada ya miezi mi3 ingetosha kabisa kurekebisha chombo yetu. Aache uchawa, achangie.
Well said
 
Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi.

Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B sisi ambao tumeishi maisha ya mjini tulishazoea maisha haya kwamba jirani yenu ana miliki pikipiki au Gari asubuhi anawasha anasepa hakuna cha lift wala nini

Sasa upande huu wa mikoani shida ipo kwa watu ambao tunafanya nao kazi eneo moja. Nimekutana na mshikaji rika sawa na mimi na wote tukiwa wageni katika kituo tulichohamia sambamba tunaishi maeneo ya karibu kimakaiz ila ofisi zipo mbali. Mimi nina usafiri both Gari na pikipiki ila nikitaka kwenda job namchek twende au namkuta njiani namchukua huyo job (go and return ).

Tatizo moja lipo hapa jamaa huwa hajiongezi, siku alipe na siku isilipe na akilipa hatatoa 2000 kama ni pikipiki na kama gari 3,000/- hapo ni mwendo wa KM 32+ gari 1.8L na njia sio ya lami. Kilichonikera zaidi wiki 2 nyuma nimetoka kutengeneza pikipiki kwa almost tshs 200,000/- baada ya block na center cluch kufa lakini yeye alitoa 10,000/- na akaidai dah!

Mbaya zaid haitoi siku zote na akitoa anatoa kidogo sana na kikiharibika ni mimi.

Mimi kama binadamu nataka nimtue tuu kwa amani zote maana nishaona Watanzania hawezi hisani, mimi nimeweza kutumia vyombo vyangu vya usafiri zaid ya miaka 5 sasa bila ushirika wowote.

Mnaweza kuchangia mawazo au changamoto kama hizi.
Ingependeza zaidi kama ujumbe huu ungemfikishia muhusika moja kwa moja..ulichofanya hapa ni KUMSENGENYA na kumfedhehesha kwa jamii ingawa hujamtaja kwa jina
 
Acha roho mbaya wewe , yaani unanua usafiri kwa ajili ya kuendea kazi kwako unategemea jirani akuchangie mafuta? Kwani ukienda peke yako na ukipakia mtu mafuta yataenda mengi?
 
Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi.

Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B sisi ambao tumeishi maisha ya mjini tulishazoea maisha haya kwamba jirani yenu ana miliki pikipiki au Gari asubuhi anawasha anasepa hakuna cha lift wala nini

Sasa upande huu wa mikoani shida ipo kwa watu ambao tunafanya nao kazi eneo moja. Nimekutana na mshikaji rika sawa na mimi na wote tukiwa wageni katika kituo tulichohamia sambamba tunaishi maeneo ya karibu kimakaiz ila ofisi zipo mbali. Mimi nina usafiri both Gari na pikipiki ila nikitaka kwenda job namchek twende au namkuta njiani namchukua huyo job (go and return ).

Tatizo moja lipo hapa jamaa huwa hajiongezi, siku alipe na siku isilipe na akilipa hatatoa 2000 kama ni pikipiki na kama gari 3,000/- hapo ni mwendo wa KM 32+ gari 1.8L na njia sio ya lami. Kilichonikera zaidi wiki 2 nyuma nimetoka kutengeneza pikipiki kwa almost tshs 200,000/- baada ya block na center cluch kufa lakini yeye alitoa 10,000/- na akaidai dah!

Mbaya zaid haitoi siku zote na akitoa anatoa kidogo sana na kikiharibika ni mimi.

Mimi kama binadamu nataka nimtue tuu kwa amani zote maana nishaona Watanzania hawezi hisani, mimi nimeweza kutumia vyombo vyangu vya usafiri zaid ya miaka 5 sasa bila ushirika wowote.

Mnaweza kuchangia mawazo au changamoto kama hizi.
Piga chini kichomi hicho
 
Naomba ni kuulize swali.
Hivi usipo mpakia mtu yoyote kwenye gari lako au pikipiki huwa unatumia mafuta kidogo? Au hivyo vyombo vyako huwa havialibiki? Hivi wakati unanunua hivyo vitu ulikuwa unajua kuna mtu wa kukusaidia kutengeneza?
Acha kupenda mteremko wewe
 
Mafuta yanaenda mengi?
Ndio, kuchukua mtu kwenye gari au pikipiki yako kunaweza kusababisha matumizi zaidi ya mafuta. Hii ni kwa sababu mzigo wa ziada unahitaji nguvu zaidi kuweza kusonga na kuendesha gari au pikipiki.

Kulingana na sheria za fizikia, uzito wa gari na pikipiki ndio unaoathiri matumizi ya mafuta. Uzito wa ziada unaongezwa na abiria mwenye uzito wa 70kg utasababisha gari au pikipiki yako kutumia mafuta zaidi kwa sababu inahitaji nguvu zaidi kuweza kuhamisha mzigo huo.

Kwa hiyo, ikiwa unapenda kuokoa mafuta, ni muhimu kupunguza uzito wa gari au pikipiki yako kwa kupunguza mzigo wa abiria na mizigo mingine isiyohitajika. Hii itasaidia kuongeza ufanisi wa matumizi ya mafuta na kuokoa gharama zako za mafuta.
 
Mtoa mada sioni kosa lako pengine watu wanajibu kihisia zaidi lakini tuache hilo kwa sababu kila mtu yupo huru kutoa maoni yake,kimsingi huyo jamaa unaempa lifti ya kila siku kwenda na kurudi kazini anatakiwa afanye maamuzi ya mtu mzima anejielewa na anatambua kuwa kuna kulipa bill kwenye maisha japo wewe ulifanya kama msaada ila sasa inaonesha unakuumiza jaribu kuwa mjasiri mueleze tu itasaidia
 
Ulishawahi kufanya tathmini ya ulaji wa mafuta ukimbeba hhuyo jirani yako na siku ambayo haujambeba? mfano kama haujambeba lets say unaweka afunane ukimbeba unaweka afukumi?
 
Acha kupenda mteremko wewe
😂😂😂 Katika watu ambo hawapendi mteremko nami nimo ila namwambia mtoa mada ukitoa msaada usitake malipo kama vipi amwambie huyo jamaa atoe nauli ili neno lift lisiwepo. Huwezi kutoa lift alafu ukadai pesa.

wewe unaona sawa mtoa maada anadai mpaka kuchangiwa pesa ya matengenezo ya chombo chake?
Ila kwakuwa hatujiuani niishie hapo.

Nikipata muda nitaandika story ya kumsaidia mtu kwenye DISSERTATION upande wa chapters: RESEARCH METHODOLOGY and SIMULATION RESULTS AND INTERPRETATION, bure kabisa na akataka anilipe nikataa kutokana na jinsi alivyo kuja kuomba na sikujua ana hadhi gani nilichojua kuwa ni mganga njaa mwenzangu anaye pambana apate master's, ila badae alikuja kunitafutia scholarships nje kupitia shirika la UN alilokuwa anafanyia kazi.
 
Ulishawahi kufanya tathmini ya ulaji wa mafuta ukimbeba hhuyo jirani yako na siku ambayo haujambeba? mfano kama haujambeba lets say unaweka afunane ukimbeba unaweka afukumi?
View attachment 2564173View attachment 2564176
images (3).jpeg

Iko wazi, uzito ukiongezeka kwenye mfumo fulani, una husika kufanya matumizi ya energy kubwa zaidi.
 
Sawa mkuu
Mtoa mada sioni kosa lako pengine watu wanajibu kihisia zaidi lakini tuache hilo kwa sababu kila mtu yupo huru kutoa maoni yake,kimsingi huyo jamaa unaempa lifti ya kila siku kwenda na kurudi kazini anatakiwa afanye maamuzi ya mtu mzima anejielewa na anatambua kuwa kuna kulipa bill kwenye maisha japo wewe ulifanya kama msaada ila sasa inaonesha unakuumiza jaribu kuwa mjasiri mueleze tu itasaidia
Umeongea vyemaa
 
Mimi nipo nje ya mada kidogo
Kwanini utembee Km 32 kwenda kazini na kurudi??

Mbona msiamie karibu na eneo la kazi ?? Especially huyo hasie na usafiri tena ni mkoani

Mimi nikiwa mikoani kikazi nakodi room 40000/50000 master nakaa karibu na kituo ambapo hata nikisema nitumie usafiri ni Tsh 1000 bodaboda jioni natembea kunyoosha miguuu
 
Usafiri ni wako afu unataka uchangiwe pesa ya service na mafuta???kisa unatoa lift ,[emoji848][emoji848][emoji848]???mambo madogo madogo kama hayo.
Sorry to say this bro,kinachokutesa ni roho mbaya na choyo.
Kwani wakati unanunua ukujua kuwa kuna mambo service na fuel?
 
Kuna kaz za ziada na ninaish kwangu
Mimi nipo nje ya mada kidogo
Kwanini utembee Km 32 kwenda kazini na kurudi??

Mbona msiamie karibu na eneo la kazi ?? Especially huyo hasie na usafiri tena ni mkoani

Mimi nikiwa mikoani kikazi nakodi room 40000/50000 master nakaa karibu na kituo ambapo hata nikisema nitumie usafiri ni Tsh 1000 bodaboda jioni natembea kunyoosha miguuu
 
Hi dunia kwani ni yetu, Jifunze kupotezea baadhi ya mambo itakusaidia sana ulinnunu Gari lako ukijua utalimudu mwenyewe kumsaidia huyo mwamba ni kama umetoa sadaka tu.

Jamn mimi ndo maana sipendi lift za watu basi tu shida zinatudhalilisha
 
Mtoa mada mwambie huyo jamaa kuwa kuna mtu mwingine ameomba awe anachangia nauli ya usafiri wako ndio uko na sintofahamu maana pia unataka kupunguza gharama za usafiri na upande mwingine kuna yeye muomba lift. Hapo ataamua azike au asafirishe. Tabia za utegemezi hizo achana na wote wanakwambia eti una roho mbaya
 
Aksnt
 
Back
Top Bottom