Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi
Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B sis ambayo tumeish maisha ya mjin tulishazoea maisha haya kwamba jiran yenu ana milik pkpk au Gari asubuhi anawasha anasepa hakuna cha lift wala nn .
Sasa upande huu wa mikon shida ipo kwa watu ambao tunafanya nao kazi eneo moja. Nimekutana na mshikaj rika saw na mimi na wote tukiwa wagen katik kituo tulichoamia sambamba tunaishi maeneo ya karbu kimakaz ila ofis zipo mbali mimi na usafiri both Gari na pikpk ila nkitak kwend job namchek twend au namkuta njian namchukua huyo job (go and return ) Tatzo moja lipo hapa jamaa huwa ajiongez siku alipe na siku isilipe na akilpa ata toa 2000 kama ni pkpk na kama gari 3,000/- hapo ni mwendo wa KM 32+ gari 1.8L na njia sio ya Rami , kilichonikela zaid wik2 nyuma nimetoka tengeneza Piki almost tshs 200,000/- baada ya block na center cluch kufa lakn yeye alitoa 10,000/- na akaidai dah ,
Mbaya zaid haitoi siku zote na akitoa anatoa kidogo sana na kikiharibika ni mimi
Mimi kama binadamu natak nimtue tuu kwa amani zote maan nishaona Watanzania hawezi hisani mimi nimewez kutumia vyombo vyangu vya usafr zaid ya miaka 5 sasa bila ushirka wowote mnawez kuchangia mawazo au changamoto kama hizi