Tunaomjua Mwamba wa Lusaka (Chama) na makubwa aliyoyafanya katika ligi hii lazima tutafakari tuhuma alizopewa kuwa ni mtovu wa nidhamu

kama wewe hukujua kwanini saidoo aliachwa,basi ninupuuzi wako,saidoo aliachwa na yanga kwasababu alitaka kuongezewa mkataba miaka 2 lakini yanga walikataa,na wakampa wa mwaka mmoja ndipo aliposema basi hayaweza,akamalizana na yanga kwa keshima na adabu,acha ujinga kuandika vitu usivyojua
 
YANGA WALIWEKA WAZI ??
SI WALISEMA KUWA UTOVU WA NIDHAMU NA ABUNDO WEWE UNALETA STORY ZA KWENYE KAHAWA
 
Wachezaji wa kaizer chief waliosimamishwa tunaambiwa ni Walevi bongo mnafichaficha mambo nadhani pana kitu hakipo sawa...
 
Simba tumieni weledi ku handle tension za club..

Ni kama kuna ombwe ktk Media..

Ni kama ktk social media kuna nguvu ndogo ku counter YANGA pressure..
 
Na. Ndio wanakaa nae huko kambini
 
Chama amefanya mengi Simba,hata hatua tuliyofikia kwenye Champions league ana mchango mkubwa,ila kwa sasa hana cha ku-offer tena Simba, namba haziongopi. Aidha kiwango kimeshuka au hajisikii amani tena kuwepo Simba na si dhambi kwake. Itoshe tu kumwambia Thank you Chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…