Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Kwanini huulizi Kapama kakosea nini kwanini Chama tu?Unajua Chama kakosea Nini??
Ukijua hicho ndiyo uje UJENGE hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini huulizi Kapama kakosea nini kwanini Chama tu?Unajua Chama kakosea Nini??
Ukijua hicho ndiyo uje UJENGE hoja.
Mke wa chama uko makini hadi unajua tatizo ni malipoUnahoji kuhusu malipo yako,unaambiwa mtovu wa nidhamu,awaburuze FIFA,waache ujanjaujanja.
Siyo hadi niwe mume wako au wake... taarifa zimevuja mkuu, tatizo maslahi janjajanja.Alipwe tu,siyo fair.
kama wewe hukujua kwanini saidoo aliachwa,basi ninupuuzi wako,saidoo aliachwa na yanga kwasababu alitaka kuongezewa mkataba miaka 2 lakini yanga walikataa,na wakampa wa mwaka mmoja ndipo aliposema basi hayaweza,akamalizana na yanga kwa keshima na adabu,acha ujinga kuandika vitu usivyojuaTimu za kariakoo (Simba sc na Yanga Sc) Hawa mapacha huwa wanakasumba sana haswa Hawa viongozi wanapoulizwa kuhusu suala la masilahi.
Nimemshuhudia Chama (kipenzi Cha mashabiki) akicheza mpira katika ligi yetu hii kwa nidhamu kubwa kwa misimu kadhaa bila kusikia kakwaruzana na mchezaji mwenzie au kiongozi mwenzake je leo hii Kuna Nini kwa Chama?
Tulizoea kusikia Mkude kafanya hivi au Benard Morson kafanya kile hapo nzungumzia wakiwa Simba sc acha Yanga Sc kwa Bernard morsoni watu Kama Hawa mwisho wa siku mashabiki tulizoea kutokana na utundu wao.
Aliachwa Saidoo ntibazonkiza pale Yanga Sc juu juu tu hakuna sababu ya maana iliyoelezwa, hii ni kasumba kwa timu yetu/timu zetu za Kariakoo na hii hutokana na viongozi kutoa ahadi zisizo na vitendo na wachezaji wakihoji wanaonekana ni watovu wa Nidhamu.
Maoni Yangu: ifike hatua timu za kariakoo ziache janja janja haswa kwenye masilahi/posho za wachezaji.
Hakuna shabiki wa Simba sc na Yanga Sc asiyejua kuwa Chama kwenye Suala la nidhamu yupo vizuri Ila janja janja za viongozi wa kariakoo huwa zinatengeneza hadithi za kumtoa mtu kwenye Reli.
Nawasilisha hoja.
Wewe aliyekwambia amesimamishwa kwa sababu ameomba posho alizoahidiwa nani?SAWA SASA MSIWAPAKAZIE WACHEZAJI KUWA WANAUTOVU WA NIDHAMU WANAPOOMBA POSHO ZAO MLIZOWAAHIDI.
HAYA TUPE SABABU YA KUSIMAMISHWA KWA CHAMA AU KAMTUKANA MANGUNGU??Wewe aliyekwambia amesimamishwa kwa sababu ameomba posho alizoahidiwa nani?
YANGA WALIWEKA WAZI ??kama wewe hukujua kwanini saidoo aliachwa,basi ninupuuzi wako,saidoo aliachwa na yanga kwasababu alitaka kuongezewa mkataba miaka 2 lakini yanga walikataa,na wakampa wa mwaka mmoja ndipo aliposema basi hayaweza,akamalizana na yanga kwa keshima na adabu,acha ujinga kuandika vitu usivyojua
Umeshaambiwa sababu ni utovj wa nidhamu,kwa hiyo kama hujui sababu ndio utunge sababu kutoka kwenye kichwa chako?upewe sababu wewe kama nani?HAYA TUPE SABABU YA KUSIMAMISHWA KWA CHAMA AU KAMTUKANA MANGUNGU??
KAMTUKANA MANGUNGU AU?Umeshaambiwa sababu ni utovj wa nidhamu,kwa hiyo kama hujui sababu ndio utunge sababu kutoka kwenye kichwa chako?upewe sababu wewe kama nani?
Na. Ndio wanakaa nae huko kambiniUtovu wa nidhamu ni nini?
Lazima ujue kwanza maneno hayo yanamaana pana sana. So usikimbilie ku judge.
Cha msingi ni hao wanaosema kuwa ana utovu wa nidhamu wabainishe ni kipi alichofanya kila mtu afahamu.
Simba ni taasisi, kwanini wanaficha taarifa muhimu? Kulikuwa na haja gani yakurelease hiyo statement kisha kuficha huo utovu wenyewe?
Hahahaha kamgomea. TrainerKAMTUKANA MANGUNGU AU?
HUO UTOVU WA NIDHAMU NI UTOVU GANI KWA NINI WASIWEKE WAZI HICHO KITU?Nyie mnaosema walipwe chao..nyie ni bank mnayopokoea mishahara yao hamjaiona?
Amefoji vyeti vya elimu ya sekondariKAMTUKANA MANGUNGU AU?
MIMI NILIJUA KAMZOMEA TRY AGAINAmefoji vyeti vya elimu ya sekondari
Mda wote aliofanya kazi simba zaidi ya misim mitatu leo ndo wanalibaini hilo? Na chet cha taaluma kinauhysiano gani na soka??Amefoji vyeti vya elimu ya sekondari
Huyo niliyemjibu anastahili jibu la namna hiyo mkuu!Mda wote aliofanya kazi simba zaidi ya misim mitatu leo ndo wanalibaini hilo? Na chet cha taaluma kinauhysiano gani na soka??