Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPANA NILIENDA KUSOMEA KUKUPIGA MITI/KUKUCHAKATA.Wewe wacha kutupigia makelele, badilisha casing ya maandishi yako.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko team, Chama anao wafuasi wengi kwa mambo aliyoyafanya Simba lakini simuoni Benchikha akiingia katika mfumo wa Chama, kocha ni mkubwa sana kuliko mchezaji na anaungwa mkono na Mo Dewji anayemlipa mshahara na kumpa mamlaka ya kufanya analotaka kwa faida ya timu.ALIDENGUA AU ALIKUA ANAHOJI MASLAHI YA MKATABA??
KWA NINI HAMPENDI MCHEZAJI KUOMBA KUONGEZEWA MASLAHI YA MKATABA??
HIYO IPO PANDE ZOTE MBILI IWE YANGA AMA SIMBA UKIGUSA MASUALA YA MKATABA LAZIMA UAMBIWE MTOVU WA NIDHAMU.
UNAKUMBUKA NELSON OKWA ALISHAWI KUSEMA VIONGOZI WANAPANGA VIKOSI KUWEKA WACHEZAJI WANAOWATAKA WAO??Unataka ufahamu ili iweje? Sio kila jambo linaenda public,
Umepewa taarifa hata kama hutamuona uwanjani ujue ana changamoto.
Sababu nyingine unaweza kuweka wazi zikawa na madhara zaidi ya tatizo lilipo alafu mkarudi tena hapa kulaumu.
Simba kuna watu wazima punguzeni chokochoko.
Amedai tu zile posho mlizo muahidi yeye na wachezaji wenzake. Sasa mtu akidai haki yake ndiyo aonekane mbaya/mtovu wa nidhamu!! Kweli!!Kwamba yeye ni mtukufu?
Ni wakati sasa kwa mashabiki kuhoji huo utovu wa nidhamu wa Clotus Chama na huyo mwenzake, ni utovu gani huo wa nidhamu!!Pale mchezaji anapokuwa mkubwa kuliko club, kazi kwenu mlitusakama sana kwa swala la Fei baada ya kusema ili yy arudi basi Rais aondoke, haya kazi kweni na ana miaka miwili hapo kasaini juzi tu hapo.
Bora hata kibu moira unaonekana yule ustadh saido mpango ntibazonkizaTujifunze kwa united walimuacha greenwood wakabaki na Antony. Simba wapo radhi wamuache chama kwa sababu wanazozijua wabaki na Kibu Denis [emoji28][emoji28][emoji28]
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu anayoitumikia.Timu za kariakoo (Simba sc na Yanga Sc) Hawa mapacha huwa wanakasumba sana haswa Hawa viongozi wanapoulizwa kuhusu suala la masilahi.
Nimemshuhudia Chama (kipenzi Cha mashabiki) akicheza mpira katika ligi yetu hii kwa nidhamu kubwa kwa misimu kadhaa bila kusikia kakwaruzana na mchezaji mwenzie au kiongozi mwenzake je leo hii Kuna Nini kwa Chama?
Tulizoea kusikia Mkude kafanya hivi au Benard Morson kafanya kile hapo nzungumzia wakiwa Simba sc acha Yanga Sc kwa Bernard morsoni watu Kama Hawa mwisho wa siku mashabiki tulizoea kutokana na utundu wao.
Aliachwa Saidoo ntibazonkiza pale Yanga Sc juu juu tu hakuna sababu ya maana iliyoelezwa, hii ni kasumba kwa timu yetu/timu zetu za Kariakoo na hii hutokana na viongozi kutoa ahadi zisizo na vitendo na wachezaji wakihoji wanaonekana ni watovu wa Nidhamu.
Maoni Yangu: ifike hatua timu za kariakoo ziache janja janja haswa kwenye masilahi/posho za wachezaji.
Hakuna shabiki wa Simba sc na Yanga Sc asiyejua kuwa Chama kwenye Suala la nidhamu yupo vizuri Ila janja janja za viongozi wa kariakoo huwa zinatengeneza hadithi za kumtoa mtu kwenye Reli.
Nawasilisha hoja.
simba haiendeshwi kihuni.kwanini chama na kapama na sio wachezaji wote ?au hizo posh wao tu.SAWA SASA MSIWAPAKAZIE WACHEZAJI KUWA WANAUTOVU WA NIDHAMU WANAPOOMBA POSHO ZAO MLIZOWAAHIDI.
Kweli kabisa Mkuu.Ni wakati sasa kwa mashabiki kuhoji huo utovu wa nidhamu wa Clotus Chama na huyo mwenzake, ni utovu gani huo wa nidhamu!!
Kama walitoroka kambini, waseme! Na kama walidai posho walizoahidiwa; waambiwe pia. Ujanja ujanja hautakiwi.
JIKITE KWENYE HOJA YANGU NDIO UTANIELEWAWekeni sababu za kubuni hata laki moja lkn uongozi wa simba hauwezi kuhangaika na nyinyi sana sana ni kupoteza mda tu.
Kwani mkuu wewe unajua kilichofanya Jadon Sancho asimamishwe mpaka leo au walieleza zaidi ya Ten Hag kusema Sancho anajua cha kufanya ili arudi kwenye team?Mipira ya kiafrika shida sana unaambiwa utovu wa nidhamu halafu huelezwi alichofanya mnabaki mitandaoni mnalumbana bila kujua chochote.
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu, Morison alikuwa akisajiliwa msimu mzima anacheza mechi haizidi 6 ,zote anacheza hovyo, ikifika mda wa kusajili anaanza kuonyesha kiwango, huyu chama aliyecheza hizi mechi za mwisho kimataifa utadhani siyo kama yule wa kwenye ligi, hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu na asizingue akitaka kwenda upande wa pili au popote aendeHoja yako umeielezea upande mmoja tu wa Chama.
Chama kila kipindi cha usajili huwa anakuja na drama zake.
Nitajie mwaka gani ambao msimu wa usajili umefika hujasikia longolongo za Chama
Akifakisha achukuliwe hatua na hiyo ndio inapaswa kuwa nidhamu endelevu, wachezaji wajue kuheshimu mamlaka.
Sisi mashabiki na sisi tutambue kuwa wachezaji wetu tunaowapenda tuna fursa ya muda mdogo sana ya kumuona mchezaji.
Katika huo muda ni awapo kiwanjani tu, na akiwa hapo hutamuona akiongea.
Maana yake kuna mengi yanayofanyika akiwa eneo ambalo sisi mashabiki hatupo.
Eneo hilo ndio sehemu anayopata fursa ya kuongea na kufanya mambo mengi ambayo mengine pengine hata sisi mashabiki tungepata fursa ya kuyaona kama si kupunguza mahaba yetu basi tungeweza kumchukia mazima.
Sasa kama huko ndio anafanya mambo yanayokiuka sheria, sisi mashabiki hatuwezi kuwa na guts za kuwalaumu viongozi kwa adhabu watayotoa kisa tu ni mchezaji kipenzi.
kipindi cha pre season edo alitabiri haya,alisumbua kwenda na timu uturuki mpk alipwe chake edo alisema aombe awe form ila akicheza chini ya kiwango atajuta jinsi viongoi watakavyomfanya sasa anatafutiwa zengwe la kuachwa usishangae hata hili dirisha dogo wakampa thank you...Timu za kariakoo (Simba sc na Yanga Sc) Hawa mapacha huwa wanakasumba sana haswa Hawa viongozi wanapoulizwa kuhusu suala la masilahi.
Nimemshuhudia Chama (kipenzi Cha mashabiki) akicheza mpira katika ligi yetu hii kwa nidhamu kubwa kwa misimu kadhaa bila kusikia kakwaruzana na mchezaji mwenzie au kiongozi mwenzake je leo hii Kuna Nini kwa Chama?
Tulizoea kusikia Mkude kafanya hivi au Benard Morson kafanya kile hapo nzungumzia wakiwa Simba sc acha Yanga Sc kwa Bernard morsoni watu Kama Hawa mwisho wa siku mashabiki tulizoea kutokana na utundu wao.
Aliachwa Saidoo ntibazonkiza pale Yanga Sc juu juu tu hakuna sababu ya maana iliyoelezwa, hii ni kasumba kwa timu yetu/timu zetu za Kariakoo na hii hutokana na viongozi kutoa ahadi zisizo na vitendo na wachezaji wakihoji wanaonekana ni watovu wa Nidhamu.
Maoni Yangu: ifike hatua timu za kariakoo ziache janja janja haswa kwenye masilahi/posho za wachezaji.
Hakuna shabiki wa Simba sc na Yanga Sc asiyejua kuwa Chama kwenye Suala la nidhamu yupo vizuri Ila janja janja za viongozi wa kariakoo huwa zinatengeneza hadithi za kumtoa mtu kwenye Reli.
Nawasilisha hoja.