Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Unaweza kuamini muanzisha mada ndie alianzisha ID mpya na kujiita gilesi...!![emoji23][emoji23]
Kweli sura sio roho..[emoji1787]
Hahahahaha sijui aliwazaga nini huyu jamaa
 
Sometime umakini muhimu dunia hiii.....usimiamini hata nzi 😂😂
 
Ninae huku wa hivyo hivyo, halafu Ni km age mate wako Basi nadekaje[emoji126][emoji126][emoji2533]mimi ni wa kuulizwa nini kinanisumbua? Mimi wa kubembelezwa kula, na kuulizwa nachotaka mimi huyu!! Ama hakika Mungu awabariki na kuwainua
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Na awaangazie Nuru ya Uso wake na kuwafadhili...
Wanakuwaga Unique sana...
 
Ninae huku wa hivyo hivyo, halafu Ni km age mate wako Basi nadekaje[emoji126][emoji126][emoji2533]mimi ni wa kuulizwa nini kinanisumbua? Mimi wa kubembelezwa kula, na kuulizwa nachotaka mimi huyu!! Ama hakika Mungu awabariki na kuwainua
Conclusion unampiga chini, wanawake nyie!!!
 
.
FB_IMG_1648450380868.jpg
 
Back
Top Bottom