Yaani ndo uamue tu kumvumilia maana hatabadilika na usiache kumsaidia kama unaweza, zidisha Upendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't worry, ni Mama na atabaki kuwa Mama! Akikulaani Mungu anageuza laana kuwa baraka! Relax God is in control
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya vyema pia unaonekana mpambanaji. Usichoke..laana za mama hazitakupata.Namsaidia na nampenda maana najua siwezi pata mama mwingine
Na bado namsaidia mdogo wangu nimemnunulia P.C. bado vitu vidogo vya shule maana hatujapishana sana ni wa kiume kwahiyo ameshakua mkubwa, nampa hela ndogo ndogo za kujinunulia vitu vyake (nikiwa na hela na nikikosa ananielewa)
Shortly, mzazi hapo anakosea.Kabila na dini sioni mantiki yake hapa
Nimesomea diploma in procurement and supply management
Unafanya vyema pia unaonekana mpambanaji. Usichoke..laana za mama hazitakupata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shortly, mzazi hapo anakosea.
Nimesoma bible sana lakin haijafundisha kutumikia mawazo ya mzazi yanayorudisha maendeleo nyuma
Kikubwa heli chuki, kuliko kurudishana nyuma.
Kama utakua wa kiroho, basi muweke kwenye maombi,
Sali hadi Mungu akupe majibu ya maombi yako.
Kwenye suala la pesa unapaswa kuwa makini usimuendekeze sana atakurudisha nyuma siku zote. Usimpe pesa ambayo ni ya biashara.Amen [emoji1431] Asante dear
Ndoivyo unapambana mwisho wa siku hamna cha maana unachokifanya
Naamka saa12 hata kma kuna mvua naenda nafata vitu tofauti sehem tofauti, ukiniona ubungo utanionea huruma ila mwisho wa siku faida huioni muda mwingine hadi napata hasara nakosa mtaji inabidi nikope bidhaa kwa watu maana kuna Baadhi ya biashara nimezifanya muda kwahiyo najuana na wauzaji
Ukipanga hela hii niifanyie kitu hichi inaishia kumpa yeye na bado laana juu
She is psychologically distracted na pengine ni kwa sababu yenu(kuangaika kuwalea) au baba yenu! Anahitaji inner peace, try to understand her na muhimu zaidi mshauri kusali (aende kanisani o msikitini randomly)..pole in advance
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mnakuja kutuambia wazazi haeakosei, tuwatii Kwa kila jambo. Kama wazazi wenyewe ni sampuli hii huo utii utatoka wapi?
Pole sana mama wingine kauzu sana, pole sana fuata ushauri wa controla, usipofsnya hivyo atakurudisha nyuma kimaendeleo.
Pia usiogope kumwambia ukweli unavyojisikia mchane umpe somo hakuna laana inayofanya kazi kwa uonevu na husda.Zaidi ya kauzu
Nimesoma miaka yote hiyo sijawahi kuambiwa safari njema/ mitihani mema Au neno lolote la faraja
Wala kuulizwa chochote kuhusu chuo zaidi ya kuulizwa unarudi lini
Weka mahesabu ya matumizi yake, kwamba kwa mwezi anatumia kiasi gani (basic needs).
Ukishapata hesabu kamili, mwambie utakuwa unamtumia kila mwezi hesabu yake, akimaliza mapema huhusiki.
Be strict.
Pia usiogope kumwambia ukweli unavyojisikia mchane umpe somo hakuna laana inayofanya kazi kwa uonevu na husda.
Siwezi kumwambia hivyo, kwasababu
Unajua changamoto za biashara
Kuna watu kukopa na kutolipa kwa wakati na wengine kutolipa kabisa
Kuna mtaji kuyumba
Kuna muda matarajio yanakua ndio sivyo
Na unavyompromise mtu haswa mama yangu mwisho wa siku inakua ni deni, fikiria nishamwambia hivyo haya mwisho wa mweZi unafika sina hiyo hela? Na hapo inaweza kupita hata miezi miwili mtu huna hela maana biashara haijakaa stable na ni kwasababu yake
Kuna kipindi nilitaka kufungua frame mkoa x hadi nikatafuta nikaongea na mwenye sehemu, nikamshirikisha akaniambia nikope nikalipe deni DCB af nikope tena hela nyingi nikurudishie mwisho wa siku nikaambulia patupu, huku mwenye sehem akinipigia kila siku hadi akapata mtu na ilikua sehem nzuri kweli maana kuna population ya watu hilo eneo