Tunaopitia hii changamoto tupeane ushauri

Yaani ndo uamue tu kumvumilia maana hatabadilika na usiache kumsaidia kama unaweza, zidisha Upendo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Namsaidia na nampenda maana najua siwezi pata mama mwingine
Na bado namsaidia mdogo wangu nimemnunulia P.C. bado vitu vidogo vya shule maana hatujapishana sana ni wa kiume kwahiyo ameshakua mkubwa, nampa hela ndogo ndogo za kujinunulia vitu vyake (nikiwa na hela na nikikosa ananielewa)
 
Unafanya vyema pia unaonekana mpambanaji. Usichoke..laana za mama hazitakupata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabila na dini sioni mantiki yake hapa

Nimesomea diploma in procurement and supply management
Shortly, mzazi hapo anakosea.

Nimesoma bible sana lakin haijafundisha kutumikia mawazo ya mzazi yanayorudisha maendeleo nyuma

Kikubwa heli chuki, kuliko kurudishana nyuma.

Kama utakua wa kiroho, basi muweke kwenye maombi,
Sali hadi Mungu akupe majibu ya maombi yako.
 
She is psychologically distracted na pengine ni kwa sababu yenu(kuangaika kuwalea) au baba yenu! Anahitaji inner peace, try to understand her na muhimu zaidi mshauri kusali (aende kanisani o msikitini randomly)..pole in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu mnakuja kutuambia wazazi haeakosei, tuwatii Kwa kila jambo. Kama wazazi wenyewe ni sampuli hii huo utii utatoka wapi?
 
Pole sana mama wingine kauzu sana, pole sana fuata ushauri wa controla, usipofsnya hivyo atakurudisha nyuma kimaendeleo.
 
Unafanya vyema pia unaonekana mpambanaji. Usichoke..laana za mama hazitakupata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Amen [emoji1431] Asante dear

Ndoivyo unapambana mwisho wa siku hamna cha maana unachokifanya

Naamka saa12 hata kma kuna mvua naenda nafata vitu tofauti sehem tofauti, ukiniona ubungo utanionea huruma ila mwisho wa siku faida huioni muda mwingine hadi napata hasara nakosa mtaji inabidi nikope bidhaa kwa watu maana kuna Baadhi ya biashara nimezifanya muda kwahiyo najuana na wauzaji

Ukipanga hela hii niifanyie kitu hichi inaishia kumpa yeye na bado laana juu
 
Shortly, mzazi hapo anakosea.

Nimesoma bible sana lakin haijafundisha kutumikia mawazo ya mzazi yanayorudisha maendeleo nyuma

Kikubwa heli chuki, kuliko kurudishana nyuma.

Kama utakua wa kiroho, basi muweke kwenye maombi,
Sali hadi Mungu akupe majibu ya maombi yako.

Sawa nitafanyia kazi hilo

Nimefikiria kuwashirikisha watu wazima ila nimeona sio sawa
 
Amen [emoji1431] Asante dear

Ndoivyo unapambana mwisho wa siku hamna cha maana unachokifanya

Naamka saa12 hata kma kuna mvua naenda nafata vitu tofauti sehem tofauti, ukiniona ubungo utanionea huruma ila mwisho wa siku faida huioni muda mwingine hadi napata hasara nakosa mtaji inabidi nikope bidhaa kwa watu maana kuna Baadhi ya biashara nimezifanya muda kwahiyo najuana na wauzaji

Ukipanga hela hii niifanyie kitu hichi inaishia kumpa yeye na bado laana juu
Kwenye suala la pesa unapaswa kuwa makini usimuendekeze sana atakurudisha nyuma siku zote. Usimpe pesa ambayo ni ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
She is psychologically distracted na pengine ni kwa sababu yenu(kuangaika kuwalea) au baba yenu! Anahitaji inner peace, try to understand her na muhimu zaidi mshauri kusali (aende kanisani o msikitini randomly)..pole in advance

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante

Baba alishafariki muda tu, na kutulea sisi yes kuna changamoto ila baadhi tunazikabili ndio maana nilivyopata mtu wa kunisaidia nikamwambia chuo nitafix mwenyewe

So currently ni mdogo wangu tu ambae mm namsaidia na Uncle’s pia wana michango yao kwa dogo
 
Halafu mnakuja kutuambia wazazi haeakosei, tuwatii Kwa kila jambo. Kama wazazi wenyewe ni sampuli hii huo utii utatoka wapi?

Yani kma huyu wangu hataki kurekebishwa hata kidogo ukimwambia anakujibu unajiona unajua sana unajiona unahekima na maneno mengi ya kebehi
 
Pole sana mama wingine kauzu sana, pole sana fuata ushauri wa controla, usipofsnya hivyo atakurudisha nyuma kimaendeleo.

Zaidi ya kauzu

Nimesoma miaka yote hiyo sijawahi kuambiwa safari njema/ mitihani mema Au neno lolote la faraja

Wala kuulizwa chochote kuhusu chuo zaidi ya kuulizwa unarudi lini
 
Weka mahesabu ya matumizi yake, kwamba kwa mwezi anatumia kiasi gani (basic needs).

Ukishapata hesabu kamili, mwambie utakuwa unamtumia kila mwezi hesabu yake, akimaliza mapema huhusiki.

Be strict.

Siwezi kumwambia hivyo, kwasababu
Unajua changamoto za biashara
Kuna watu kukopa na kutolipa kwa wakati na wengine kutolipa kabisa
Kuna mtaji kuyumba
Kuna muda matarajio yanakua ndio sivyo
Na unavyompromise mtu haswa mama yangu mwisho wa siku inakua ni deni, fikiria nishamwambia hivyo haya mwisho wa mweZi unafika sina hiyo hela? Na hapo inaweza kupita hata miezi miwili mtu huna hela maana biashara haijakaa stable na ni kwasababu yake

Kuna kipindi nilitaka kufungua frame mkoa x hadi nikatafuta nikaongea na mwenye sehemu, nikamshirikisha akaniambia nikope nikalipe deni DCB af nikope tena hela nyingi nikurudishie mwisho wa siku nikaambulia patupu, huku mwenye sehem akinipigia kila siku hadi akapata mtu na ilikua sehem nzuri kweli maana kuna population ya watu hilo eneo
 
Pia usiogope kumwambia ukweli unavyojisikia mchane umpe somo hakuna laana inayofanya kazi kwa uonevu na husda.

Mimi siwezi kuongea maana nina hasira sana na kulia
Pia ukimwambia ukweli anasema unadharau kiburi unajiona umepata
Watu hupata matatizo na kukimbilia wazazi wao haya we jifanye unajua

Hapo kisa nilimwambia hayo marejesho humalizi? Maana kila siku marejesho na kwa wiki anapeleka 62
 
Siwezi kumwambia hivyo, kwasababu
Unajua changamoto za biashara
Kuna watu kukopa na kutolipa kwa wakati na wengine kutolipa kabisa
Kuna mtaji kuyumba
Kuna muda matarajio yanakua ndio sivyo
Na unavyompromise mtu haswa mama yangu mwisho wa siku inakua ni deni, fikiria nishamwambia hivyo haya mwisho wa mweZi unafika sina hiyo hela? Na hapo inaweza kupita hata miezi miwili mtu huna hela maana biashara haijakaa stable na ni kwasababu yake

Kuna kipindi nilitaka kufungua frame mkoa x hadi nikatafuta nikaongea na mwenye sehemu, nikamshirikisha akaniambia nikope nikalipe deni DCB af nikope tena hela nyingi nikurudishie mwisho wa siku nikaambulia patupu, huku mwenye sehem akinipigia kila siku hadi akapata mtu na ilikua sehem nzuri kweli maana kuna population ya watu hilo eneo

Nimekupata mkuu, ile post niliyokwambia isome mara nyingi na uangalie jinsi unavyoweza kuedit baadhi ya vitu ili iweze kuendana na mazingira yako.
 
Back
Top Bottom