Tunaopitia hii changamoto tupeane ushauri

Kwenye suala la pesa unapaswa kuwa makini usimuendekeze sana atakurudisha nyuma siku zote. Usimpe pesa ambayo ni ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nisipompa ya biashara nitampa ipi?? Inabidi nitoe hapo hapo nimpe

My x bf nilimshosha sana huku anisomeshe huku anihudumie tho tuliachana kwasababu zingine
 
Nisipompa ya biashara nitampa ipi?? Inabidi nitoe hapo hapo nimpe

My x bf nilimshosha sana huku anisomeshe huku anihudumie tho tuliachana kwasababu zingine
Nimemaanisha pesa ambayo unatakiwa kununua mzigo usimpe. Pia angalia usimpe faida yote ukabaki huna kitu ukashindwa kuendeleza maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemaanisha pesa ambayo unatakiwa kununua mzigo usimpe. Pia angalia usimpe faida yote ukabaki huna kitu ukashindwa kuendeleza maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Shida nikiwa nae karibu maana kwa maneno yake inabidi nimpe mtu nikiwa mbali nae ndio naweza kumkabili maana hatuonani
 
Pisi kali,
Tafuta mtu mzima rafiki yake anaye msikiliza mshirikishe akaongee naye ninavyoona huenda mahusiano yenu yakawa mabaya sana yakapelekea stress na msongo wa kimawazo huko mbeleni.

Pole sana.
 
Shida nikiwa nae karibu maana kwa maneno yake inabidi nimpe mtu nikiwa mbali nae ndio naweza kumkabili maana hatuonani
Ndo uache kukaa nae karibu. Mtumie pesa huko aliko then piga kimya endelea na mishe zako. Najua inauma ila huna budi kumchenjia kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mtu mzima rafiki yake anaye msikiliza mshirikishe akaongee naye ninavyoona huenda mahusiano yenu yakawa mabaya sana yakapelekea stress na msongo wa kimawazo huko mbeleni.

Pole sana.

Asante

Nikisema nimshirikishe mtu ndio shida itakua kubwa zaidi
Nilishawahi kumshirikisha aunt akaongea nae kwa uzuri tu ila mwisho wa siku akasema kama sitaki kumpa nisimpe na sio kumtangazia kwa watu kwan anamuomba mtu Baki si mwanae

Ana majibu ya hapo hapo

Hatujapishana sana yeye ana 45 na mm 23
 
Ndo uache kukaa nae karibu. Mtumie pesa huko aliko then piga kimya endelea na mishe zako. Najua inauma ila huna budi kumchenjia kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio nachokifanyaga mm na mikoa, mikoa na mimi sema lazima nirudi nyumbani kufata mizigo na pia kusalimia kwenda kwa ndugu
 
Daaah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana na hongera kwa kuvuka majaribu
 
Je anaishi vip na mdogo wako?na pole sana kwa mambo ya mama inasikitisha sana
 
Uliwahi kumwambia mama unavyofikiri au kuhisi anavyokufanyia?

Mwambie haya uliyotuambia hapa. Usiache hata chembe, ndio dawa! Lakini ukikaa kimya unakuja lalamika huku haisaidii nayeye ataona sawa tuu.

Recall CONTROLLA yeye alimwambia wazi kuwa hamuhesabii kama mama yake!

Na wewe fanya hivyo vaa ujasiri mwambie. By the way kwanini uliachana na jamaa aliyekusaidia?

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake bwana.
 
Sina ujasiri wa kumwambia hivyo maana ndio mzazi niliebaki nae pia nishamwambia kuhusu tabia zake lakini hanielewi zaidi ndio zinazidi

Mbali na changamoto zote hizo siwezi kumwambia wewe sio mama yangu yan ujasiri huo sina kwa kweli

Kuachana na jamaa ni personal issues siku nikiwa tayari nitapost
(Kila mahusiano yana raha na karaha zake pia ukiwa mzigo sana kwa mtu kuna kaumimi flani hivi Yan bila mm huwezi bila mm hivi na mambo mengine...) ila namshukuru sana sana sana na analijua hilo
Na siku ya graduation yangu alinitumia hela kiasi

Kila mtu akishinda mechi zake watakaoshindwa wanakaa wapi[emoji848]
 
Nijibu swali la mechi.

Kila mtu anatakiwa kushinda mechi zake, ukifeli omba re match mpaka ushinde.

Turudi kwenye mada!

Ujasiri unatoka kwa Mungu, omba ujasiri wa kumwambia mama unavyojisikia juu ya matendo yake kwako, sijasema umwambie yeye sio mama wako! Hapana, lakini mwambie ukweli kuwa unajisikia vibaya kutokana na maneno yake juu yako.

Mara nyingi tunajitesa na kuumia sababu hatuongei, tuna gugumia mambo mioyoni mwetu, ni hatari sana.

Ndoa nyingi zinaharibika sababu watu hawana ujasiri wa kuwaambia wenza wao juu ya hali wanazosikia zaidi wanajitesa na mwishowe ndoa zinaparaganyika.

Nakushauri! Omba ujasiri wa Mungu kisha ukipata ujasiri nenda kwa mama kwa upole kisha mwambie.

Communications is the key to healthly relationship. All the best.

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Best COMMENT! Muombee tu mama yako, sio yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitoe zaidi ya mtaji... asikucontrol kwasababu sio yeye ni shetani anakurudisha nyuma. Be strict, mama atakuja tu into her senses hata baada ya miaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks I’ll try it[emoji1431] Mungu anipe nguvu na ujasiri
 
Reactions: dtj
Usitoe zaidi ya mtaji... asikucontrol kwasababu sio yeye ni shetani anakurudisha nyuma. Be strict, mama atakuja tu into her senses hata baada ya miaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Natamani iwe rahisi hivyo ila najikuta nashindwa
Naweza nikafight nikapata hela kiasi hapo hapo unakuta ananiomba atatuma msg siku nzima na kupiga simu juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…