Nikiwa mmoja wa watu navutiwa na kazi ya Rais naomba wale wote tuna mapenzi mema na taifa basi tusisifu sana tukasahau kuweka akiba ya maneno.
Taifa letu ni muhimu sana na umoja wetu kuliko yale yote yanaendelea. Kama Watanzania tujivike ujasiri kumsifu Rais na kumkosoa ila sio kwa lugha isiofaa. Kuna wingu zito sana ktk siasa za taifa letu na sote tusifunge macho tukalala.
Kuna kitu sio cha kawaida kinataka kutokea wala sio siri japo walio kazini ni top top secret.
Giza giza giza nene linanyemelea Taifa na hata pamoja na ukali na misimamo mikali ya Serikali. Hili giza ni nene. Naweza sema tumezidiwa ujanja. Watu wabaya nawenye nia mbaya wamepenyeza mambo yao pale Ikulu. Nasi sote tunaona mwisho kabla ya mwanzo.