Tunaosifu tukumbuke kuweka akiba yajayo yanafurahisha

Tunaosifu tukumbuke kuweka akiba yajayo yanafurahisha

Msiba wa kujitakia wahenga walinena hauna kilio. Tulishahimizwa tuchape kazi na kazi tunachapa mtatakia nini tena tuache tuchape kazi
Fear of unknown
Haya maisha ukiwa mwogaa sana unaweza kushindwa hata kupumua
Tuliambiwa tujiandae kuhama mjini cha ajabu watu ndio wanahamia.
Hii inathibitisha, MTU hataishi kwa mkate tu Bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Kristo
Hatutakufa tutaishi tuyashuhudie matendo makuu ya Kristo.
Twendeni nchi yetu sote
 
Jiwe amekuwa blackmailed?

Kama anafanya maamuzi bila kufuata sheria ajue tu watu wanatunza dossier zake moja baada ya nyingine ili muda ukifika wamkaange kwa mafuta yake mwenyewe.

Taasisi imsaidie asiwe compromised na kutafuta kujinusuru yeye at the expense ya Taifa zima

Mkuu

Jamaa alivyo mweupe hili halijui!

Anadhani akitoka ndio ashakua invincible!

Tusubiri aone
 
Mliyataka wenyewe so tulizeni ball & mumsubirie Kristo arudi maana hakuna namna..
 
Nini tena hapa? Ni kuhusu uchaguzi au kuna Coupe?
 
Nikiwa mmoja wa watu navutiwa na kazi ya Rais naomba wale wote tuna mapenzi mema na taifa basi tusisifu sana tukasahau kuweka akiba ya maneno.

Taifa letu ni muhimu sana na umoja wetu kuliko yale yote yanaendelea. Kama Watanzania tujivike ujasiri kumsifu Rais na kumkosoa ila sio kwa lugha isiofaa. Kuna wingu zito sana ktk siasa za taifa letu na sote tusifunge macho tukalala.

Kuna kitu sio cha kawaida kinataka kutokea wala sio siri japo walio kazini ni top top secret.

Giza giza giza nene linanyemelea Taifa na hata pamoja na ukali na misimamo mikali ya Serikali. Hili giza ni nene. Naweza sema tumezidiwa ujanja. Watu wabaya nawenye nia mbaya wamepenyeza mambo yao pale Ikulu. Nasi sote tunaona mwisho kabla ya mwanzo.
TumainEl mimi nimeanza kikuelewa, lakini namshukuru pia Mungu amekufungua macho, hujachelewa kwani hata Sauli a.k.a Petero aluanza kama wewe, Mungu huanhalia nia. Kuna jambo baya sana laja, hata usipoambiwa kama umejaaliwa kuona kwa jicho LA tatu utaju
 
Sasa mwanafunzi kama anajisifu hivi mwalimu wake aliemfundisha hizo degree 4 afanyaje?.
I am proud to be a teacher kumbe mnatembelea nyota zetu aiseh
Sifa kubwa ya kuwa mwalimu Tanzania ni kufeli,sasa nani atembelee nyota ya vilaza? ungekuwa si kilaza ungependa kufanywa ngazi miaka nenda rudi?
 
Nini tena hapa? Ni kuhusu uchaguzi au kuna Coupe?

Labda Ni Kati ya haya
Demokrasia kufutwa rasmi Tz kupitia bunge yaani mabadiliko ya sheria...
Mapinduzi ya kisanii ili kuleta machafuko Tz...

Kuhairisha uchaguzi mkuu Hadi 2023, Ni baada ya upinzani kudai haki zao na kupotezwa rasmi kwa vyama vingi...
 
Itakuwa mbaya sana
 
Fear of unknown
Haya maisha ukiwa mwogaa sana unaweza kushindwa hata kupumua
Tuliambiwa tujiandae kuhama mjini cha ajabu watu ndio wanahamia.
Hii inathibitisha, MTU hataishi kwa mkate tu Bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Kristo
Hatutakufa tutaishi tuyashuhudie matendo makuu ya Kristo.
Twendeni nchi yetu sote
True Mola ndoa atoae riziki tuliambiwa hadi juni 2017 hakuna atakaebakia mjini,mwaka Wa tatu tungali tunadunda mjini hata sasa,mjini kutamu hata wao wameshindwa kuhama japo wanaahidi lkn miaka inapita
 
Hahahahaha mpiga zumari anageuka! Anamgeuka boss? The end is near
Utumbuzi ulimpitia team kapilimba hatusikii utekaji tena siku hizi naona dili limekwisha Tumaniel ndie aliyemtishia Ben na Lisuu na wakosoaji wote jf nyuzi zipo,siku hizi apraise tena maslai yamekatwa
 
Back
Top Bottom