Tunaosifu tukumbuke kuweka akiba yajayo yanafurahisha

Tunaosifu tukumbuke kuweka akiba yajayo yanafurahisha

Nikiwa mmoja wa watu navutiwa na kazi ya Rais naomba wale wote tuna mapenzi mema na taifa basi tusisifu sana tukasahau kuweka akiba ya maneno.

Taifa letu ni muhimu sana na umoja wetu kuliko yale yote yanaendelea. Kama Watanzania tujivike ujasiri kumsifu Rais na kumkosoa ila sio kwa lugha isiofaa. Kuna wingu zito sana ktk siasa za taifa letu na sote tusifunge macho tukalala.

Kuna kitu sio cha kawaida kinataka kutokea wala sio siri japo walio kazini ni top top secret.

Giza giza giza nene linanyemelea Taifa na hata pamoja na ukali na misimamo mikali ya Serikali. Hili giza ni nene. Naweza sema tumezidiwa ujanja. Watu wabaya nawenye nia mbaya wamepenyeza mambo yao pale Ikulu. Nasi sote tunaona mwisho kabla ya mwanzo.
Naomba iwe kweli
 
Nilisha andika na nina andika mimi nauwezo wakuona mambo kabla hayajatokea. Nalia kwa ajili ya taifa langu naumia ninapo Ona Rais kama taasisi kunamambo yanaendelea sote akili zinaturuka kama ni yeye ama kundila watu fulan kwa masilah yao binafsi. Nahapa ndipo Rais wetu anapaswa kuwa makini nawatu wanao piga makofi. Ukiona unawaita watu wajinga wakapiga makofi juwa wamekuzidi akili.... Wanakupeleka kwenye giza. Hapo ndipo tumefikia je tukae kimya? Nani anamwambia Rais eti kuwapiga chin upinzan ndio maendeleo? Keep cool and pray.
Sasa wewe ndo mnafiki Mwandamizi!, unawezaje kusikitika upinzani unapo kufa wewe???. Wewe si ndiye uliyeshangilia pale walipo pigwa risasi, walipo tekwa na kupotezwa, walipo zuiwa kufanya siasa ukashangilia!. Hayo yote ulishangiria ulifikiri yanaimarisha upinzani???. Hasara zaidi ni pale unapojiona mwenye akili nyingiii.
 
Kuna mtu humu namkumbuka kwa ID ya Jm06 Kama sikosei, aliwahi Kunitishia maisha ,kisha akatamba na kusema," yuko wapi BAK,?
tumeshampata, Bado wewe".
Kwa point hiyo sidhani Kama atakuwa hai.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Rekebisha kidogo, hiyo id yake anajiita Jmc06, huyu jamaa ni kitengo full na huwa anafuatilia wote wasiosujudu na kukosoa. Nimewahi kumuambia mara kadhaa kwamba aache vitisho, lakini anaonekana ni kitengo mwenye mihemko hivyo ni nadra kuficha hisia zake mpaka kazi yake kufahamika. Kuna mwingine anaitwa misuli, huyu anaonekana ana busara na ni mjenga hoja mzuri, lakini kimsingi yumo humu ndani kwa kazi maalumu.
 
Uzuri ni kuwa #ccm wote (ndani na nje ya mkondo_wa_mafinikio) wanautambua ukweli kuwa tuendako si sahihi!
 
Back
Top Bottom