Tunaosifu tukumbuke kuweka akiba yajayo yanafurahisha

It has ti be that way..hakuna namna kama unafanya madudu huku ukiwatesa wengine.

Popote duniani hii kitu ipo,hata uwe dikteta vp kuna walio wema watakutii lakin hawawezi zisariti nafsi zao zenye kuona haki inatendeka.

Daima uwe mtenda haki hata pale unapoteleza kwa bahati mbaya ukiri huo udhaifu na kurekebisha kama inabidi.
 
Giza LA nin lanyemelea
 
Agreed
 
Kuna mtu humu namkumbuka kwa ID ya Jm06 Kama sikosei, aliwahi Kunitishia maisha ,kisha akatamba na kusema," yuko wapi BAK,?
tumeshampata, Bado wewe".
Kwa point hiyo sidhani Kama atakuwa hai.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Aisee mkuu na wengine humu,hii kumbe ni issue na ni mbaya kiasi hiki? BAK, please, kama uko salama, confirm.
 
Wewe nae kwa mafumbo aargh!

Acha giza lije baada ya hapo itakuwa asubuhi full light
Tumepiga kazi mchana kutwa mpaka tunatamani giza (usiku) angalau kidogo tupumzike kesho itafahamika
 
Kuna mtu humu namkumbuka kwa ID ya Jm06 Kama sikosei, aliwahi Kunitishia maisha ,kisha akatamba na kusema," yuko wapi BAK,?
tumeshampata, Bado wewe".
Kwa point hiyo sidhani Kama atakuwa hai.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
natumaini BAK ni mzima na buheri wa afya kwasababu Majuzi tu alilike comment yangu flani humu. Na siyo mara ya kwanza bak kupotea humu. Kuna wakati alishapotea humu zaidi ya mwaka na kuibuka.
 
Sijui kwa nini nafurahi vitu vibaya viwakumbe hawa watu
Unafikiri hayo mabaya yakitokea yatachagua huyu anaunga mkono juhudi au huyu alionewa ni mpinzani?
Uchaguzi wa serikali za mitaa, kuzuwia mikutano ni kitanzi cha kuining'iniza Tanzania kama taifa.

Wabaya wa taifa letu walikuwa wanasubiri wahusika wajivalishe hiki kitanzi, bahati mbaya busara haikuchukua mkondo kwa wenye dhamana, tunakaribia mteremko mkali na gari linataka kukata breki.
 
kama nimemuelewa mleta mada.
Ni kwamba analalamika serikali inavyofanya kuua upinzani kuwa si jambo zuri.
Maana Lina hatarisha amani ya nchi.
MWISHO utawala utakuwa wa kidikteta kitu ambacho kinatoka nje ya katiba yetu inayoruhusu vyama vingi na demokrasia japo sio demokrasia HURU.lakini ilikuwa INA AFADHARI.
 
Kuna baadhi ya thread huwa ni kwa ajili ya burudani tu, alimradi tusome na kusukuma wakati.
 
Acha litokee la kutokea Tutaelewana labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…