NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Huyu jamaa alitumwa kwa BS8 na akatekeleza, sasa damu imemrudi inamtuma awe kama bodyguard wa Kabila Sr hata anaanza kutunga sentensi za kuhalalisha anacho panga kufanya.Hahahahaha mpiga zumari anageuka! Anamgeuka boss? The end is near
Mkuu umetolewa kwenye circle ya taasisi ndani ya taasisi mbona siku hizi unaweweseka sana? Bringback Ben.
Nilisha andika na nina andika mimi nauwezo wakuona mambo kabla hayajatokea. Nalia kwa ajili ya taifa langu naumia ninapo Ona Rais kama taasisi kunamambo yanaendelea sote akili zinaturuka kama ni yeye ama kundila watu fulan kwa masilah yao binafsi. Nahapa ndipo Rais wetu anapaswa kuwa makini nawatu wanao piga makofi. Ukiona unawaita watu wajinga wakapiga makofi juwa wamekuzidi akili.... Wanakupeleka kwenye giza. Hapo ndipo tumefikia je tukae kimya? Nani anamwambia Rais eti kuwapiga chin upinzan ndio maendeleo? Keep cool and pray.
Unakosea sana kuongelea mambo ya kiusalama kirahisi ivyo umu ndani
Inaonekana kisu kipo mfupani au ulilala bar unaota bado.
Sijui kwa nini nafurahi vitu vibaya viwakumbe hawa watu
I'd ndio si salama. hapa ni tumeweka vichwa tu kwenye kishimo Ila huku pengine Pako wazi. Yakupasa kuwa na staha.Kama BAK hayupo hai !ina maana hizi id humu sio salama?
Huyu jamaa mleta mada ni Muongo sana
Unakumbuka hapa juzi kipindi taharuki ilipotokea wakati wa fununu za kuumwa kwa mzee?
Jamaa alikuwa haelewi hata kinachoendelea alafu akawa anatupiga kamba humu ndan
Huyu jamaa nahisi kuna shemeji yake anafanya kazi usalama hivyo huwa anasikiliza maongezi akiwa anaongea na dada yake yeye akiwa kashikilia remote kwenye sofa sebulen
Yupo mzima wa afyaKama BAK hayupo hai !ina maana hizi id humu sio salama?
Kwani mmeshindwa kuwafanyia mlomfanyia Ben,azory,......,......,..., au Lissu???.Nikiwa mmoja wa watu navutiwa na kazi ya Rais naomba wale wote tuna mapenzi mema na taifa basi tusisifu sana tukasahau kuweka akiba ya maneno.
Taifa letu ni muhimu sana na umoja wetu kuliko yale yote yanaendelea. Kama Watanzania tujivike ujasiri kumsifu Rais na kumkosoa ila sio kwa lugha isiofaa. Kuna wingu zito sana ktk siasa za taifa letu na sote tusifunge macho tukalala.
Kuna kitu sio cha kawaida kinataka kutokea wala sio siri japo walio kazini ni top top secret.
Giza giza giza nene linanyemelea Taifa na hata pamoja na ukali na misimamo mikali ya Serikali. Hili giza ni nene. Naweza sema tumezidiwa ujanja. Watu wabaya nawenye nia mbaya wamepenyeza mambo yao pale Ikulu. Nasi sote tunaona mwisho kabla ya mwanzo.