Tunaosifu tukumbuke kuweka akiba yajayo yanafurahisha

Naomba iwe kweli
 
Sasa wewe ndo mnafiki Mwandamizi!, unawezaje kusikitika upinzani unapo kufa wewe???. Wewe si ndiye uliyeshangilia pale walipo pigwa risasi, walipo tekwa na kupotezwa, walipo zuiwa kufanya siasa ukashangilia!. Hayo yote ulishangiria ulifikiri yanaimarisha upinzani???. Hasara zaidi ni pale unapojiona mwenye akili nyingiii.
 
Kuna mtu humu namkumbuka kwa ID ya Jm06 Kama sikosei, aliwahi Kunitishia maisha ,kisha akatamba na kusema," yuko wapi BAK,?
tumeshampata, Bado wewe".
Kwa point hiyo sidhani Kama atakuwa hai.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Rekebisha kidogo, hiyo id yake anajiita Jmc06, huyu jamaa ni kitengo full na huwa anafuatilia wote wasiosujudu na kukosoa. Nimewahi kumuambia mara kadhaa kwamba aache vitisho, lakini anaonekana ni kitengo mwenye mihemko hivyo ni nadra kuficha hisia zake mpaka kazi yake kufahamika. Kuna mwingine anaitwa misuli, huyu anaonekana ana busara na ni mjenga hoja mzuri, lakini kimsingi yumo humu ndani kwa kazi maalumu.
 
Uzuri ni kuwa #ccm wote (ndani na nje ya mkondo_wa_mafinikio) wanautambua ukweli kuwa tuendako si sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…