Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

Kuna clip nyingi zinatokea kwenye mitandao zikimuonyesha sabaya kama mkuu wa wilaya na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama akichukua hatua za kutetea umma kwa kuwakamata wahujumu uchumumi na watu dhulumati kwa wanyonge...
Ulikuwa kwenye kitengo gani hapo Hai mkuu au ulikuwa mbeba pistol tu
 
Ni faida hizo hizo inazozipata ikiwapeleka wahalifu wengine mahakamani
 
Acheni haki itendeke kama hana hatia basi mahakama ndo mhimili wa haki kama alitenda mabaya basi pia asubiri malipo yake
 
Kwa kuwa jalada la kesi yake lipo mahakamani, ni vyema mnaoona alikuwa mtu mwema mkamchangia apate jopo la mawakili na mkapangue hoja za mashtaka yote anayotumiwa nayo...

Ni mara kibao tu serikali imeshindwa kesi mahakamani...
 
Ndugu yake jambazi sugu Sabaya endelea kumtetea ila mvua 30 zinamhusu .
 
hawa MATAGA ni shida sana mkuu. Wache waendelee kumtetea, lakini naamini mpaka kesi yake ihukumiwe, mama atakuwa kishatoka madarakani na tuna raisi mwingine.
 
Wewe ni mshenzi #1 Afrika.
 
Nenda kamtetee mahakamani,acha porojo.
 
Naona wafuasi wa Bashite wnajificha sana nyuma ya Issue ya Sabaya, saa yake bado ila ikifika hakuna wamkusaidia
Wafuasi wa Bashite na wafuasi wa Ole Sabaya ni walewale, kinachowaunganisha sio uzalendo bali ni udhalimu, ni wamoja katika roho ya shetani. Si ajabu kuteteana katika kipindi kama hiki.
 
Simameni nae kama wanufaika wa udhalimu wake.Muhimu pangeni tu zamu ya kumpelekea sabuni jela
 

Hata Malyamungu alisimama na Nduli Amini hadi dakika ya mwisho. Halipo jipya hapo.
 
Kama unampenda nenda kisongo kanywe naye chai
 
Yule dogo akipona saana ni mvua sate.....watu waanze kujipanga sasa kuzishughulikia nyumba zake ndogo!! kutesa kwa zamu zamu.
 
Saahiz anapumuliwa kisogo mahabusu...
Akitoka nje wahuni wanamalizana nae

Konda nae ni jambo la muda tu, aendelee kuishi kama digidigi
sema tu siku hizi mageleza zetu zimeacha michezo ile ya kihuni - angetoka anatembea kwa rivasi.!!
 
Labda zile bl 3. Amkatie huyu jamaa hapa atachomika. Sangoma kiboko ya TB Joshua na Bushiri.

Nana Kwaku Bonsam hilo jina pia maanake The Devil.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…