Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

Ngoja nikwambiekitu kimoja mrembo Nigrastratatract. Kiongozi, kama alivyokuwa Sabaya, anaweza kufanya mambo mengi mazuri tu kama sehemu ya majukumu yake. Umeelezea vizuri baadhi ya mambo aliyofanya ikwemo kuongoza mapato ya halmashauri, kurudisha mashamba yaliyogubikwa na dhuluma, nk. Pamoja na kufanya mambo hayo yote, kiongozi kama huyo akifanya kosa moja tu la jinai, hawezi kukwepa mkono wa sheria kwa kisingizio kwamba ameganya, a, b, c.........z. Kosa moja tu linamweka hatiani na hawezi kutimia utekelezaji wa majukumu yake kama kinga. Hiki ndo kinachotokea kwa Sabaya.

 
Sidhani kama Sabaya katuhumiwa na kushtakiwa kwa mema aliyoyafanya, bali kwa maovu anayodaiwa kufanya.

Acha sheria ichukue mkondo wake, akipatikana na hatia atahukumiwa kwa mujibu wa sheria, na akiwa hana hatia ataachwa huru.
 
Hii ni sababu za kishamba kuwekeza chuki kwa mtu aliyefanya kazi yake kutetea watu wa Hai na kudhibiti viongozi wasiofaa.

Huyu mwanaCCM ambae Makamanda wenzangu wamemwagia chuki kubwa akimaliza haya majanga na kurudi uraiani Makamanda tutavuna aibu kubwa.
 
Acha wenge wewe, CHADEMA ndio waliomkamata? Wana gereza? acha kurupoka ujinga wewe, naona MATAGA hamuwezi kukalisha makalio yenu mkatulia kila saa mnawataka tu CHADEMA
 
wewe mataga pori mlidhani mtapora mali na kuumiza raiya milele????
 
Yaani huyo sangoma anawadanganya pamoja na CCtv camera zote zile

Huyo sangoma mwambieni kuna CCTV camera afanye mavitu yake akazifute au zipotee vinginevyo sheria inafuata mkondo wake .
 
Unategemea litaisha kwa upendo upi kushinda.Sabaya ni.muharifu na haina sababu ya kumconnect na mambo ya.Kisiasa. Je hilo.sanga la Arusha auoni diwani wa com ndiye complainant.So Sabaya hawezi chomoka Kirk khali.yoyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…