Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Namba EAA had EAC mahis zitaenda fasta mana sa hv watu wanazisikilizia sana namba mpya tofauti na 2014 ilipoanza namba B
Mkuu 2014 ilikua namba B??? Kumbukumbu zako hazipo sawa jaribu kukumbuka vizuri.
 
Nunua gari mkuu, usajili wa bongo haumaniishi gari ni mpya.

Mfano gari iliyotengenezwa 2003 ikiingia leo inapewa DY same na iliuyotengenezwa 2020 ikiingia leo inapewa DY [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cha msingi tutafute hela na kutunza magari yetu.
 
Kusubiri kunaitaji moyo sana hasa mzigo ukiwa mfuko wa shati....!
 
True...
Ukikuktana na mdau anauza allex au Runex nistue nianzie
 
Hivi hizi gari namba A zilianza kutumiwa rasmi mwaka gani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…