N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Wakati huo X5 yangu new model itakuwa ishakuja dadeqNamba EAA had EAC mahis zitaenda fasta mana sa hv watu wanazisikilizia sana namba mpya tofauti na 2014 ilipoanza namba B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo X5 yangu new model itakuwa ishakuja dadeqNamba EAA had EAC mahis zitaenda fasta mana sa hv watu wanazisikilizia sana namba mpya tofauti na 2014 ilipoanza namba B
June hii namba E
Mkuu 2014 ilikua namba B??? Kumbukumbu zako hazipo sawa jaribu kukumbuka vizuri.Namba EAA had EAC mahis zitaenda fasta mana sa hv watu wanazisikilizia sana namba mpya tofauti na 2014 ilipoanza namba B
Kama ndo hivi EAA hadi July sasa khe
Kama ndo hivi EAA hadi July sasa khe
Namba E nayo itakaa miaka kibao! Wengine tutaikuta huko EYEKusubiri kunaitaji moyo sana hasa mzigo ukiwa mfuko wa shati....!
DYD ishajaa tunasubiri DYEDYD bado huko?
Serikalini tuko STM baada ya kipindi kirefu cha STL
Nmekutana n STM0004Hatari sana niliona juzi STM 0001.
Namba E mtaipata na ushuru mpya, jipangeni. Kwa uhakika zaidi pitia kikotoo cha TRA.
Hivi hizi gari namba A zilianza kutumiwa rasmi mwaka gani???Zimekaa mda mrefu sababu ni waliondoa plan ya pikipiki kuchanganyika na magari! Ndio maana zile B na C hazikudumu muda mrefu. Kwa kumbukumbu C zilianza 2010 bila shaka mpaka kufikia 2014 zikakata zikaanza D!
A zilimezwa na conversion ya magari kutoka TZS 99999 format kwenda T111AAA!
B zilimezwa na usajili wa pikipiki humo humo nazo hazikudumu sana!
C ndio zilikaa almost 4 years zikaisha sababu ya hela ya Jakaya ilikuwepo bado kwenye account na mizunguko ya Watu!
D zilipoanza na mzee Jiwe akawa ameingia mitamboni kuanza kutingisha hali zetu😅 na ndio nahisi atakuwa amekufa nazo mwaka huu maana January lazma tuanze na E!
Ushuru umepaa sio mchezo, mpaka nimeghairi kuagiza