msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 650
- 2,962
Hahaha atakaefungulia mbwa tu kwa EAA jua zitafumuka chassis zote yani natabiri ndani ya muda mfupi sana EAD itafikiwa. πππBado tuko ndani ya muda wa makadirio though chassis namba naziona hadi maegesho ya Bar mida ya jioni tena mkoa.
Hahahahahahah kila mtu hataki kusajili D tenaπππ nchi yangu bana dah, sema yote sababu ya madalali tu...Watu wamejifunza kitu kupitia namba D.namba hazitembei aisee..kuna jamaa yangu kaagiza swift kaweka ndani na chasis number anasubiri E now mwezi wa 6...watu wanauziana sana magari mkonononi..magari ya 3 to 4m number A, B, na C ndo yapo kwenye mizunguko.
ila me siwezi kuweka gari ndani kisa kusubiri plate namba E..ni ushamba desgnHahahahahahah kila mtu hataki kusajili D tenaπππ nchi yangu bana dah, sema yote sababu ya madalali tu...Watu wamejifunza kitu kupitia namba D.
Mfano tu pale una shida ya hela ya chap gari imekaza namba DZV yani haina tofauti na EAF of same model and color halafu mtu anakwambia ingekuwa E hata ya mwanzo tungeuza fasta ila hio D labda tukupe million 8 mzeeπππ! Ukicheki usajili wa EAF ni 16M ila zote ubora ni sawa ila yako unalazimika uuze million 8 kisa namba DZV tu.ila me siwezi kuweka gari ndani kisa kusubiri plate namba E..ni ushamba desgn
Nimeliona hilo pia.Hahaha atakaefungulia mbwa tu kwa EAA jua zitafumuka chassis zote yani natabiri ndani ya muda mfupi sana EAD itafikiwa. πππ
Sana bro,hapo kuna wazee wanaisubiria E ikiingia tu waingie zao mjini zenji hapo waje bara kukinukisha na vitu vilivyopiga misele hata miaka 4 ndani ya stone town ila kikugusa jiji la makala kitu kinyulio kinapigwa E yake swaaaafiHahahah usajili ukianza wa E zitasogea haraka sana yani ndani ya mwezi tu watu wanaweza toboa "EAD"
Wajanja watanyuti kwanza E isogee kidogo walau hata kama ni EA.... ila iwe EAD au EAH mbele mbele kidogoπ!Nimeliona hilo pia.
Kununua EAA ya mkononi itakuwa sawa na kununua DZS tu kwa uchakavu.π
Hahahah kweli wahuni sio watu. Kwahio mabaharia wanasubiria E waje kukiwasha na mikorosho ya kizenjibare πππ wonders shall never ceaseSana bro,hapo kuna wazee wanaisubiria E ikiingia tu waingie zao mjini zenji hapo waje bara kukinukisha na vitu vilivyopiga misele hata miaka 4 ndani ya stone town ila kikugusa jiji la makala kitu kinyulio kinapigwa E yake swaaaafi
Shida ndio hiyo unanunua gari kwa pesa ya kubana mambo ya msingi ie.ada, kodi, malipo ya mikopo lazima baada ya muda mfupi uuze..na kama umenunua gari kama crown utaona kila rangi from madalali..haha..Mfano tu pale una shida ya hela ya chap gari imekaza namba DZV yani haina tofauti na EAF of same model and color halafu mtu anakwambia ingekuwa E hata ya mwanzo tungeuza fasta ila hio D labda tukupe million 8 mzeeπππ! Ukicheki usajili wa EAF ni 16M ila zote ubora ni sawa ila yako unalazimika uuze million 8 kisa namba DZV tu.
Crown kuuza lazma utauza kwa hasara tu sababu market yake ni ya specific segment, ila wale generic customers wengi wako concerned na fuel efficiency ya gari. Huwa wana discourage anything V6 au V8.shida ndo hyo unanunua gari kwa pesa ya kubana mambo ya msingi ie.ada, kodi, malipo ya mikopo lazima baada ya muda mfupi uuze..na kama umenunua gari kama crown utaona kila rangi from madalali..haha..
Hope kwenye jan mwakani DZ crown itakua bei ya kizalendo kabisa πWajanja watanyuti kwanza E isogee kidogo walau hata kama ni EA.... ila iwe EAD au EAH mbele mbele kidogoπ!
Si tunasubiria DZ tuuziwe bei za kizalendo.
Wanawachora tu huku wakiisubiria E iingie πHahahah kweli wahuni sio watu. Kwahio mabaharia wanasubiria E waje kukiwasha na mikorosho ya kizenjibare πππ wonders shall never cease
Eeh namba DZ tutakuwa tunauziwa million 8 hapo madalali lazma walegeze masharti πππHope kwenye jan mwakani DZ crown itakua bei ya kizalendo kabisa π
Haha haitawezekana !
Maana kuna option tatu za kutoa bandarini,
1. Full duty , hawa wenye vifua wanalipa kodi yote kabla gari haijatoka geti namba 2
2.Exemption hawa wanapata msamaha wa kodi
3. Bonded , hawa hawana hela ya kodi kuogopa storage gari inakwenda bond ili wajipange .
Kisheria huwezi kupata namba kama hujamaliza taratibu za kodi ,
Namaanisha ikishushwa kwenye meli ipigwe namba hapohapo.Zingine zinaenda bond mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] hamna jinsi
Mkuu kwani kuna shida gani V8 ya 2022 ikibandikwa AHG?Namaanisha ikishushwa kwenye meli ipigwe namba hapohapo.
Ukipeleka bonded inaenda na namba yake. Siku ikitoka inatoka na namba yake iliyopewa wakati inashuka.
Hii itaepusha fujo zinazotokea sasa.
Nikinunua gari safari hii ntawaambie wanipe namba A iliyotekelezwa huko. Tena AAA.Mkuu kwani kuna shida gani V8 ya 2022 ikibandikwa AHG?
Kwa nini ununue gari halafu uuze? Kama ni la kutumia tu mjini na bata zako.shida ndo hyo unanunua gari kwa pesa ya kubana mambo ya msingi ie.ada, kodi, malipo ya mikopo lazima baada ya muda mfupi uuze..na kama umenunua gari kama crown utaona kila rangi from madalali..haha..