Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

namba hazitembei aisee..kuna jamaa yangu kaagiza swift kaweka ndani na chasis number anasubiri E now mwezi wa 6...watu wanauziana sana magari mkonononi..magari ya 3 to 4m number A, B, na C ndo yapo kwenye mizunguko.
Hahahahahahah kila mtu hataki kusajili D tena😂😂😂 nchi yangu bana dah, sema yote sababu ya madalali tu...Watu wamejifunza kitu kupitia namba D.
 
ila me siwezi kuweka gari ndani kisa kusubiri plate namba E..ni ushamba desgn
Mfano tu pale una shida ya hela ya chap gari imekaza namba DZV yani haina tofauti na EAF of same model and color halafu mtu anakwambia ingekuwa E hata ya mwanzo tungeuza fasta ila hio D labda tukupe million 8 mzee😂😂😂! Ukicheki usajili wa EAF ni 16M ila zote ubora ni sawa ila yako unalazimika uuze million 8 kisa namba DZV tu.
 
Hahahah usajili ukianza wa E zitasogea haraka sana yani ndani ya mwezi tu watu wanaweza toboa "EAD"
Sana bro,hapo kuna wazee wanaisubiria E ikiingia tu waingie zao mjini zenji hapo waje bara kukinukisha na vitu vilivyopiga misele hata miaka 4 ndani ya stone town ila kikugusa jiji la makala kitu kinyulio kinapigwa E yake swaaaafi
 
Hahahah kweli wahuni sio watu. Kwahio mabaharia wanasubiria E waje kukiwasha na mikorosho ya kizenjibare 😂😂😂 wonders shall never cease
 
Mfano tu pale una shida ya hela ya chap gari imekaza namba DZV yani haina tofauti na EAF of same model and color halafu mtu anakwambia ingekuwa E hata ya mwanzo tungeuza fasta ila hio D labda tukupe million 8 mzee😂😂😂! Ukicheki usajili wa EAF ni 16M ila zote ubora ni sawa ila yako unalazimika uuze million 8 kisa namba DZV tu.
Shida ndio hiyo unanunua gari kwa pesa ya kubana mambo ya msingi ie.ada, kodi, malipo ya mikopo lazima baada ya muda mfupi uuze..na kama umenunua gari kama crown utaona kila rangi from madalali..haha..
 
shida ndo hyo unanunua gari kwa pesa ya kubana mambo ya msingi ie.ada, kodi, malipo ya mikopo lazima baada ya muda mfupi uuze..na kama umenunua gari kama crown utaona kila rangi from madalali..haha..
Crown kuuza lazma utauza kwa hasara tu sababu market yake ni ya specific segment, ila wale generic customers wengi wako concerned na fuel efficiency ya gari. Huwa wana discourage anything V6 au V8.
 
Haha haitawezekana !
Maana kuna option tatu za kutoa bandarini,
1. Full duty , hawa wenye vifua wanalipa kodi yote kabla gari haijatoka geti namba 2
2.Exemption hawa wanapata msamaha wa kodi
3. Bonded , hawa hawana hela ya kodi kuogopa storage gari inakwenda bond ili wajipange .

Kisheria huwezi kupata namba kama hujamaliza taratibu za kodi ,

Ipo simple tu.

Ikishushwa ipewe namba.

Hata ikija kutolewa huko bonded atatoka na namba yake aliyopewa siku anashusha.
 
Zingine zinaenda bond mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] hamna jinsi
Namaanisha ikishushwa kwenye meli ipigwe namba hapohapo.

Ukipeleka bonded inaenda na namba yake. Siku ikitoka inatoka na namba yake iliyopewa wakati inashuka.

Hii itaepusha fujo zinazotokea sasa.
 
Back
Top Bottom