Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Ngoja tuandae budget
 
Sasa kama unajua yote hayo na unaijua thamani ya hela kwanini usiende showroom au ukaagiza mwenyewe Japan..gari yenye usajili wa A, B, C hata usajili wa bima comprehensive depreciation rate yake ni 80%
 
Nakubaliana nawe, Dsm unapishana na gari new Model ila Kisahani namba A...[emoji848][emoji848][emoji848]
Nimekuwa nikijiuliza sana jambo hili, kumbe Kazi maalum...
ni kawaida kabisa kukuta gari new model ina namba A na ikawa ya mtu binafsi kwa sababu ukiwa na gari yako hata ikiwa namba A kama imesha chakaa au umeuza kama chuma chakavu inatakiwa urudi TRA kufuta usajili na namba hiyo atapewa mtu mwingine.
 
Acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…