Kuangalia usajili wa plate namba za gari kisha kukadiria bei(thamani) ya gari sio sahihi na nikukosa uweledi wa kujua thamani halisi ya chombo. Sababu kuna watu wana gari zilizosajiliwa kwa B... zpo vizuri zaidi kuliko DVW.
Kipimo sahihi kujua thamani ya gari husika kwa ajili ya resale. Inatakiwa iwe;
1. Uchakavu wa gari husika (body, engine na interior)
2. Mwaka wa uzalishaji gari
3. Kama imeshawahi pata ajali (kama imepata ajili bei lazima iwe chini)
4. Umbali uliotembea (hapa unakuta crown imetembea 150,000KM na bado watu wanauziwa kwa bei sawa na iliyotembe umbali wa 50,000KM)[emoji31]
5. Record za service
UKIJUA THAMANI YA HELA YAKO HUTAKUBALI KUUZIWA GARI JUST BASED ON REGISTRATION PLATES.