Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

Joined
Jun 5, 2024
Posts
42
Reaction score
46
Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo.

Nawasilisha.
 
Mkuu n nani sa hivi
Prof mbwete yupoo??bisinda??
 
Acheni kukwepa kwenda main compus huko kwenye vyuo kama Tumaini,UDSM,UDOM n.k,mnakimbilia open University,matokeo yake mnakua ving'ang'anizi kwenye ofisi mbalimbali bila ya kua na ufanisi katika utendaji kazi.Kasomeni,achieni vitengo.
 
Kwani kuwa campus ndio kuelewa dunia imesha hama huko vyuo vingi duniani wanatumia online system hata kama ni vya campus.

Kazi nyingine watu wanafanyia nyumbani kupitia online systems. Wewe ni mvivu wa kusoma na hujiamini ndio maana unataka spoon feeding.
 
Back
Top Bottom