IFahamike kwamba vyuo vikuu vyote duniani vina hadhi moja kwa maana sheria na taratibu na mifumo inayofanya chuo kuwa chuo kikuu,,,kwahiyo award inayotolewa chuo chochote kikuu inatambulika na ina hadhi sawa
Kinachotokea hapa ni ufahari tu na mazoea ya vyuo vya campus,,lakini online universities zina hadhi kama vyuo vikuu vingine vikuu
Kwahiyo anayetaka kwenda open university aende na asome kwa raha zake,,kikubwa ni kuwa na nidhamu ya mtu binafsi,,kufuatilia ratiba zako vizur,kujua ratiba za assignments, mitihani,,kupata course outline na mambo kama hayo
Vitabu viko pale mnapewa na materials zinazo hitajika katika course yako
Faida moja wapo ya Open University inakufanya usome sana na hivyo kuwa deep zaidi kimaarifa,una cross check vitabu na materials mbali mbali
Papers mnafanya physical au ana kwa ana