Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

Yes mtu anayejifunza mwenyewe anakuwa na competence kubwa sio hao wanasoma kwa kukariri na karirishwa huko jalalani na kwingine kama huko.
. Naam mkuu.. Wengi hufikiria kukaa na tutorials darasani, ndo anaelewa zaidi kumbe ni kitu ambacho siyo kweli.

. Ukiangalia vyuo vikuu huko nje za nchi vinapigisha pindi kutipitia online.
 
Uko mkoa gani? Fika makao makuu ya mkoa kwenye tawi la Open univesrity wake utaratibu,mhula wa masomo unaanza mwezi wa 11
Mkuu sorry Kwan dirisha la maombi Kwa undergraduate limeshafunguliwa?

Duh,mkuu ngoja nichangamkie,,,mi nlifikiri labda had TCU watakapofungua dirisha la maombi
 
Back
Top Bottom