Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Hivi vyuo ni vya watoto wadogo... Wanaotegemea kulishwa na baba zao,Acheni kukwepa kwenda main compus huko kwenye vyuo kama Tumaini,UDSM,UDOM n.k,mnakimbilia open University,matokeo yake mnakua ving'ang'anizi kwenye ofisi mbalimbali bila ya kua na ufanisi katika utendaji kazi.Kasomeni,achieni vitengo.