mtabekilasekta
Member
- Jun 5, 2024
- 42
- 46
Mkuu n nani sa hiviDirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo.
Nawasilisha.
Sijajua mkuu,mi pia ni mgeni kabisa ndo ntaka nijiunge Kwa mwaka huuMkuu n nani sa hivi
Prof mbwete yupoo??bisinda??
Wazoefu mje kutupa mwongozo wakuuNgoja nami nisubirie nipate uzoefu, na ada ni lazima kulipa yote kwa mkupuo?
Hakuna mshahara wa msomi wa main kampasi na open university,endelea kupteza mudaMmekosa vyuo vya maana?
Mfano wa chuo Cha maana ni ipi?Mmekosa vyuo vya maana?
Havard,udsmMfano wa chuo Cha maana ni ipi?
Sawa mkuu,siwezi pingana na mawazo yako as long as ndicho ufikiriachoHavard,udsm
Prof BisandaMkuu n nani sa hivi
Prof mbwete yupoo??bisinda??
Unaonekana bado utoto una kusumbua. Ubora wa mwanafunzi ni jitihada zake mwenyewe sio chuo.Mfano wa chuo Cha maana ni ipi?
Kwani kuwa campus ndio kuelewa dunia imesha hama huko vyuo vingi duniani wanatumia online system hata kama ni vya campus.Acheni kukwepa kwenda main compus huko kwenye vyuo kama Tumaini,UDSM,UDOM n.k,mnakimbilia open University,matokeo yake mnakua ving'ang'anizi kwenye ofisi mbalimbali bila ya kua na ufanisi katika utendaji kazi.Kasomeni,achieni vitengo.
Calculations za nini?Nataka nipige Masters of project management vipi calculations zipoje kwa wazoefu ili nisije ishia njiani?