Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

Hivi kuna wanaosoma udaktari Open University,mkuu?
 
Hivi vyuo ni vya watoto wadogo... Wanaotegemea kulishwa na baba zao,
Nadhani ni suala la mtu kukosa muda tu,ila competence ya huyo wa Open University ni tofauti na yule aliyehudhuria full,chuoni
 
Hivi kuna wanaosoma udaktari Open University,mkuu?
Kama wanasoma programs za Sayansi kwani nini kina shindikana kwenye udaktari. Open wanatoa kwa blended mode. Kwamba kwa distance na face to face hasa practicals na field.

Makerere University wanafunzi wa Medicine lectures wanasoma kwa zoom wakihitajika kwa vitendo ndio wanakutana face to face. Inaonesha huna exposure dogo.

Watu wanajifunza mambo makubwa kupitia U tube wenyewe bila kufundishwa ndio unaongelea Open University ambayo ina njia nyingi na mbalimbali za kujifunzia.
 
Nadhani ni suala la mtu kukosa muda tu,ila competence ya huyo wa Open University ni tofauti na yule aliyehudhuria full,chuoni
Siyo kweli kabisa, kujitafutia material na kulishwa materials ni vitu viwili tofauti kabisa.

. UTofauti wake ni nini, ukisoma main compus??
. Mbona tunakutana vilaza wengi tu kutoka udom, UDSM na n.k
 
Watu wanadhani ukikaa darasani ndo unaelewa Zaidi, 😀😀 kama akili hamna ni hamna tu..
 
Acheni kukwepa kwenda main compus huko kwenye vyuo kama Tumaini,UDSM,UDOM n.k,mnakimbilia open University,matokeo yake mnakua ving'ang'anizi kwenye ofisi mbalimbali bila ya kua na ufanisi katika utendaji kazi.Kasomeni,achieni vitengo.
Open university lengo lake ni watu kama hawa ambao wapo kazin already or wana majukumu ambayo hayawezi kuwaruhusu kwenda main campus.
Na si kweli wanawaoenda open hawana ufanisi kazini, nimefanya kazi na hao watu tena hawa experience kazin inakuwa inawabeba (haswa kama hajabadili profession)
 
Watu wako gizani,chuoni tunafuata vyeti tu kwa ulimwengu wa sasa,maana maarifa mengi yako mtandaoni,U tube kuna kila kitu shida ni cheti
 
Siyo kweli kabisa, kujitafutia material na kulishwa materials ni vitu viwili tofauti kabisa.

. UTofauti wake ni nini, ukisoma main compus??
. Mbona tunakutana vilaza wengi tu kutoka udom, UDSM na n.k
Yes mtu anayejifunza mwenyewe anakuwa na competence kubwa sio hao wanasoma kwa kukariri na karirishwa huko jalalani na kwingine kama huko.
 
Lengo sio kwa walio kazini ni kwa wote, ila kwa walio kazini inakuwa faida zaidi kwao kwa kuwa hawa potezi muda au kuacha kazi zao tofauti na angeenda vyuo vya bweni kama sekondari.
 
Yes mtu anayejifunza mwenyewe anakuwa na competence kubwa sio hao wanasoma kwa kukariri na karirishwa huko jalalani na kwingine kama huko.
Mtu anayejifunza mwenyewe,akipotea amepotea.
 
Watu wako gizani,chuoni tunafuata vyeti tu kwa ulimwengu wa sasa,maana maarifa mengi yako mtandaoni,U tube kuna kila kitu shida ni cheti
Si ndio hapo ndio maana vyuo vya wenzetu wanatoa degree by recognition of prior learning kwa sababu mtu ujuzi anao mfano mafundi gereji anafanya vizuri kuliko anayeitwa Engineer aliye kariri kariri hapo Coet jalalani huku hawezi kuwasha mtambo wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…