Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Sielewi sana ila Programs za Social Science courses zake zina kuwa na calculations za kawaida sio za kutisha.Nataka nipige Masters of project management vipi calculations zipoje kwa wazoefu ili nisije ishia njiani?
Wewe ndo umekariri. Ila sisi tuliopitia shule za kata.. Mziki wa kujitafutia materials tulishazoea.Kariri tu.
. Naam mkuu.. Wengi hufikiria kukaa na tutorials darasani, ndo anaelewa zaidi kumbe ni kitu ambacho siyo kweli.Yes mtu anayejifunza mwenyewe anakuwa na competence kubwa sio hao wanasoma kwa kukariri na karirishwa huko jalalani na kwingine kama huko.
Kabisa mkuu na ndio maana hata kipindi cha korona waliendelea na elimu hawakufunga na kusitisha masomo kama sisi.. Naam mkuu.. Wengi hufikiria kukaa na tutorials darasani, ndo anaelewa zaidi kumbe ni kitu ambacho siyo kweli.
. Ukiangalia vyuo vikuu huko nje za nchi vinapigisha pindi kutipitia online.
Yeah, ila sisi huku akili mbili tulifunga vyuo, shule.... Kwa sababu ya kukosa maarifa namna gani ya kuitumia internet kwa manufaa zaidiKabisa mkuu na ndio maana hata kipindi cha korona waliendelea na elimu hawakufunga na kusitisha masomo kama sisi.
Mkuu sorry Kwan dirisha la maombi Kwa undergraduate limeshafunguliwa?Mimi nime apply mkuu, nasubilia selection tu..
Usomaji inategemea na course uliyochagua mkuu.
Yes kwa open univesity washaanza kuombaMkuu sorry Kwan dirisha la maombi Kwa undergraduate limeshafunguliwa?
Ina maana uko na Dip?nipeni utaratibu wa kujiunga na mfumo wa mapindi maana mchana ofisi inanibana sana
Nataka nipige degree
Mkuu sorry Kwan dirisha la maombi Kwa undergraduate limeshafunguliwa?Mimi nime apply mkuu, nasubilia selection tu..
Usomaji inategemea na course uliyochagua mkuu.
Duh,mkuu ngoja nichangamkie,,,mi nlifikiri labda had TCU watakapofungua dirisha la maombiYes kwa open univesity washaanza kuomba
Mkuu sorry Kwan dirisha la maombi Kwa undergraduate limeshafunguliwa?
Duh,mkuu ngoja nichangamkie,,,mi nlifikiri labda had TCU watakapofungua dirisha la maombi
Udaktari wa nini? Falsafa au MD?Hivi kuna wanaosoma udaktari Open University,mkuu?
Lipo wazi mkuu, siku tatu zilizopita nimefanya application.Mkuu sorry Kwan dirisha la maombi Kwa undergraduate limeshafunguliwa?
. Paper + field inafanyika offline mkuu...Gharama zao hua zikoje? Na pepa mnafanyia online pia?
Shukrani sana mkuu. Paper + field inafanyika offline mkuu...
. Garama unalipa kwa kila unit, kulingana na course unayosomea.
Na kama ni unit 36 per year je unalipia zote Kwa mkupuo au unaweza kulipia Kwa semester?. Paper + field inafanyika offline mkuu...
. Garama unalipa kwa kila unit, kulingana na course unayosomea.
Ni kwa semester mkuu, bila kusahau hela ya field na exam siku ya mwisho.Na kama ni unit 36 per year je unalipia zote Kwa mkupuo au unaweza kulipia Kwa semester?
OK mkuu.Shukrani sana mkuu