Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Wengi hatupendi mafanikio ya wenzetu hasa Africa.Ila watu Kwa kuharibu nyuzi wako ok
Badala ya kuwa Uzi wa mchango aliotegemea kupata mleta Uzi badala yake tumekuwa Uzi wa mipasho bhagoshaaaa
Open unaomba tu wala hakuna haja ya kusubiri dirisha la udahiliDirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo.
Nawasilisha.
Open university unalipa kulingana na uwezo wako, unaweza kuwa unalipia 50000 kila mwezi mpaka utakapomaliza wala hawans shida na weweNa kama ni unit 36 per year je unalipia zote Kwa mkupuo au unaweza kulipia Kwa semester?
Aisee ni hatari sana! Kama unaonaIla watu Kwa kuharibu nyuzi wako ok
Badala ya kuwa Uzi wa mchango aliotegemea kupata mleta Uzi badala yake tumekuwa Uzi wa mipasho bhagoshaaaa
Nmekusoma sana mkuu,,,pamojaOpen university unalipa kulingana na uwezo wako, unaweza kuwa unalipia 50000 kila mwezi mpaka utakapomaliza wala hawans shida na wewe
Majukumu, shule ya ukubwani. Hata walioanzisha Open and Distance Learning waliona kuwa kuna kundi la watu wangependa kusoma huku wakiendelea na majukumu yao ofisini. Muda ambao wewe unautumia jioni kukaa baa na kuangalia ligi za soka, mwenzio yupo darasaniAcheni kukwepa kwenda main compus huko kwenye vyuo kama Tumaini,UDSM,UDOM n.k,mnakimbilia open University,matokeo yake mnakua ving'ang'anizi kwenye ofisi mbalimbali bila ya kua na ufanisi katika utendaji kazi.Kasomeni,achieni vitengo.
Open unaomba tu wala hakuna haja ya kusubiri dirisha la udahili
Mkuu naomba namba yakoOpen university unalipa kulingana na uwezo wako, unaweza kuwa unalipia 50000 kila mwezi mpaka utakapomaliza wala hawans shida na wewe
Ha ha ha ha ha haUnasema UDSM hii inayotoa wahitimu sampuli ya Mwijaku?
Jamaa anatamba ana degree 2 halafu kwenye list ya best student's hayupoHa ha ha ha ha ha
Tarehe 31 otoberMajina ya selected students hutangazwa baada ya muda gani
Profesa Tolly Mbwette afariki dunia: July 3, 2020 Matatizo ya kupumuaMkuu n nani sa hivi
Prof mbwete yupoo??bisinda??
Out wana intake ngapi mkuu?Karibu Open mimi nipo napiga kadegree kengine (LLB) kwa ajili ya kutishia watu mjini😆😆
Tatu, November, April na JulyOut wana intake ngapi mkuu?