Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

Sawa Leo naisoma misumari yenu!

acha uongo
 
Wakurya ni watu poa sana sema wengi hawajui tu, wanawachukulia kulingana na historia ya matukio yao.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Hatuko poa sana kama unavodhani upoa wetu ni Kwa wageni siyo wenyeji!

acha uongo
 
Wakurya ni watu poa sana sema wengi hawajui tu, wanawachukulia kulingana na historia ya matukio yao.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Mkuu watu wanaishi kwa mazoea na jambo likitokea mara linakuzwa sana tofauti na uharisia kabisa.

Na ukijaribu kuwambia ukweli watu wanaona unawadanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh kweli jamaa majasiri.
Esta matiko, ester bulaya, wassira,Nyerere, msuguri , Waitara ( ukonga) heche, Wenje, Masamaki (Tra) kamanda sea low , Mwita Marwa, mbunge wa mwibara, Hizi njemba matata.
Teh Teh Teh Teh Teh wakurya ni wachache sana utakuta waoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh kweli jamaa majasiri.
Esta matiko, ester bulaya, wassira,Nyerere, msuguri , Waitara ( ukonga) heche, Wenje, Masamaki (Tra) kamanda sea low , Mwita Marwa, mbunge wa mwibara, Hizi njemba matata.
R.I.P Chacha wangwe !hii mashine ingekuwepo ndo ungeona namna tunavowaowaga mananga

acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…