Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

Ila we mwana uko makini kweli kweli hadi vibao vya makaburini huviamini hadi uvichunguze🤣🤣😁😁😁😁
 
N.a. anavyo kazana kusema " Hamad rafiki yangu" hiyo rafiki yangu ni kama.ana.maanisha " bwana ake"🤣🤣🤣
Kama Wewe huyo unayetuwekea hapa Picha yake alivyo si tu Bwana wako bali pia ni MNUKUDI wako.
 
Yasni leo Umeumbuka na Kudharaulika.

Unajisemea wewe mkuu wewe ndio umeumbuka umeshindwa kutoa uthibitisho.

Umesema Imamu anaitwa Abdallah nikapost picha nikakuuliza huyu Shekhe ndio siku hizi anaitwa Abdallah? Uka change gia angani ukasema hapana Imamu wa msikiti wa Ukwamani anaitwa Msafiri.. he mara Msafiri mara Abdallah which is which and which is not which? Ukaja na porojo zako ukasema sijui Abdallah amemteua Sheikh Msafiri mara sijui Juma kuwa msaidizi wake ( very interesting🤣🤣🤣) Haya sasa nikasema isiwe tabu nikakuuliza huyo wa kwenye picha ni Abdallah, Msafiri au Juma? Mpaka sasa hakuna majibu. Haya twende kazi sasa ..wa kwenye picha ni Abdallah Msafiri au Juma?
 

Attachments

  • IMG-20181102-WA0007.jpg
    35.8 KB · Views: 1
Unanipotezea muda tu Pumbavu Wahed.
 
Nakumbukaga ulivyombana na kumuumbua anatudanganyaga eti yeye Mtutsi. Kwaanzia siku iyo hana shobo tena ya kujitangaza yeye mtutsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…