Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
🤣🤣🤣Nani anakuzingatia sasa .watu tunakuonaga mwehu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Nani anakuzingatia sasa .watu tunakuonaga mwehu
Ila we mwana uko makini kweli kweli hadi vibao vya makaburini huviamini hadi uvichunguze🤣🤣😁😁😁😁Jina la Marehemu nalihifadhi...
Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023
Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023
Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi.
Kadhia hii hii ( ambayo ipo sana katika Makaburi ya Ndugu zetu Waislamu japo hata kwa Wakristo pia hutokea japo kwa Nadra sana ) nimeshawahi kuiona pia katika Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam na yale ya Kola Morogoro.
Ulale mahala pema Peponi Rafiki yangu wa Ujanani na Ukubwani hivi Hamad Abdallah Abedi ( Mtoto wa Imam wa Msikiti mkubwa wa Kawe Ukwamani ) uliyefariki dunia Jana Kijijini Kwenu Kilwa.
Hukuwa na Cheo chochote, Utajiri wowote wala Umaarufu wowote, ila Umati mkubwa sana Uliokuzika leo Saa 5 Asubuhi kuelekea Saa 6 Mchana ni Kiashirio tosha kuwa ni kweli ulikuwa ni Mtu wa Watu katika Jamii na ndiyo maana Umeliliwa na kila Mtu na GENTAMYCINE nitakukumbuka mno, kwa mengi na hasa Urafiki wako mkubwa nami huku ukiwa pia ni Msaada Kwangu Kiushauri na hasa ukiwa ni Mtani wangu mkubwa wa Mpira Wewe ukiwa ni Yanga SC lia lia nami nikiwa ni Simba SC Kindakindaki.
Mwenyezi Mungu ampe Subira Shemeji ( Mkeo ) na Mtoto wako, awapiganie, awape Nguvu na anibariki Uchumi mzuri nami GENTAMYCINE ili basi Siku moja niweze kuwa Msaada kwa Mjane ( Mkeo ) na Mwanao Mpendwa.
Pumzika mahala pema Peponi Hamadi Abdallah Abed.
Nitakukumbuka na sijui sasa Yanga SC yako ikishinda au ikifungwa nitataniwa na nani au nitamtania nani.
Kama GENTAMYCINE unaniita Mbwa basi hata Yule Aliyekuzaa nae ni Mbwa vile vile.Mna kabattle kenu katamu mkuu nipigie mbwa hii hahahah
Those are typical Characters of a Genius.Ila we mwana uko makini kweli kweli hadi vibao vya makaburini huviamini hadi uvichunguze🤣🤣😁😁😁😁
Uko sahihi .ila hapo nimekosea nafuta kauli naweka huna adabu.nisamehe brooKama GENTAMYCINE unaniita Mbwa basi hata Yule Aliyekuzaa nae ni Mbwa vile vile.
Umeshachelewa Pumbavu.Uko sahihi .ila hapo nimekosea nafuta kauli naweka huna adabu
N.a. anavyo kazana kusema " Hamad rafiki yangu" hiyo rafiki yangu ni kama.ana.maanisha " bwana ake"🤣🤣🤣Nani anakuzingatia sasa .watu tunakuonaga mwehu
Yasni leo Umeumbuka na Kudharaulika.🤣🤣🤣🤣
Kama Wewe huyo unayetuwekea hapa Picha yake alivyo si tu Bwana wako bali pia ni MNUKUDI wako.N.a. anavyo kazana kusema " Hamad rafiki yangu" hiyo rafiki yangu ni kama.ana.maanisha " bwana ake"🤣🤣🤣
Mimi ni Mwehu kuliko Aliyekuzaa?Nani anakuzingatia sasa .watu tunakuonaga mwehu
Kama ilivyo ngumu pia kwa Mpumbavu Wewe Kisikilizwe na Kueleweka.
Yasni leo Umeumbuka na Kudharaulika.
Unanipotezea muda tu Pumbavu Wahed.Unajisemea wewe mkuu wewe ndio umeumbuka umeshindwa kutoa uthibitisho.
Umesema Imamu anaitwa Abdallah nikapost picha nikakuuliza huyu Shekhe ndio siku hizi anaitwa Abdallah? Uka change gia angani ukasema hapana Imamu wa msikiti wa Ukwamani anaitwa Msafiri.. he mara Msafiri mara Abdallah which is which and which is not which? Ukaja na porojo zako ukasema sijui Abdallah amemteua Sheikh Msafiri mara sijui Juma kuwa msaidizi wake ( very interesting🤣🤣🤣) Haya sasa nikasema isiwe tabu nikakuuliza huyo wa kwenye picha ni Abdallah, Msafiri au Juma? Mpaka sasa hakuna majibu. Haya twende kazi sasa ..wa kwenye picha ni Abdallah Msafiri au Juma?
Ndio anapenda hiviPurely Talented,charismatic fella,Game changer and Entertainer
🤣🤣🤣🤣Kama Wewe huyo unayetuwekea hapa Picha yake alivyo si tu Bwana wako bali pia ni MNUKUDI wako.
Weka picha za rafiki yako Marehemu wacha blah blahUnanipotezea muda tu Pumbavu Wahed.
Duu, alipitiwa labda alikuwa na undugu na marehemu ndiyo maana alichanganyikiwa.Ndiyo Kaburi lake lilivyokuwa limeandikwa.
Wewe unapenda vipi?
Pumbavu Wahed.Weka picha za rafiki yako Marehemu wacha blah blah
Nakumbukaga ulivyombana na kumuumbua anatudanganyaga eti yeye Mtutsi. Kwaanzia siku iyo hana shobo tena ya kujitangaza yeye mtutsiWala sio mgeni mkuu huyu hata Dar yenyewe hajawahi kufika ndio maana anatumia nguvu nyingi sana kuaminisha watu hapa jf kwamba amewahi kufika dar.
Mkuu hujiulizi?.hapa jf hakunaga member anae tumia fake ID anae weza kutaja mahali anapo ishi. Ila huyu jamaa kila siku kuitaja kawe simply kwa sababu haishi Dar wala hajawahi kufika dar maisha yake yote..
Mbinu anayo tumia kuwaaminisha watu kwamba amewahi kufika kawe ni mbinu ya kitoto kweli.
kwa sababu anapenda sana kusikiliza redio na kwenye redio taarifa nyingi kuhusu maeneo mbalimbali zina ripotiwa, mfano kero n.k.
Sasa yeye anacho kifanya kwa mfano asikie mtu anasema " Naitwa Chesco anaishi hapa Kawe Ukwamani karibu na gereji inaitwa mfano " MOGADISHU GARAGE" kero yangu Mimi ni kuhusu uchafu unao tupwa viwanja cha Tanganyika Packers.."
Yeye atakacho kifanya atatunga story yake halafu kwenye hiyo story yake ata mention hiyo MOGADISHU saloon na dampo la Tanganyika Packers. So kwa wenyeji wa kawe wa hapa jf wakisoma kisa cha huyu mtoa mada wataona ukweli kwa sababu ameyataja maeneo ambayo yanajulikana..
Ndio maana kwenye hiki kisa chake cha mchongo anaongea vitu kama " Sheikh Msafiri anaishi nyuma ya benki ya Crdb iliyopo karibu na let's say kituo cha mafuta cha lets say lake oil. Yani anakuwa ana BABAISHA babaisha.
Hichi kisa anacho kisema inawezekana akawa amesikia habari kwa juu juu eidha mtu anatangaza tangazo la kifo cha Imamu wa msikiti wa Kawe akamtaja na jina so yeye alicho kifanya amechukua jina la Imamu halafu akatengeneza story yake akajichomeka kwenye story ili aonekane na yeye amewahi kufika dar lakini ni uongo. Itakuwa amesikia vibaya hana taarifa sahihi. Ndio maana nimembana hapa apost picha ya Marehemu ameshindwa anabaki kulalamika kwa mods.