Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane

Huna pesa ya ada!
 
Daaaa nimekuelewa sana.
 
Uko sawa kabisaaa.
 
Ww jamaa bana uchumi umeyumba ila umeamua kujiliwaza ki namna hiyo[emoji23]
 
Hamna kitu bora kumpa mtoto wako kama exposure. Nashukuru sana Mungu wazazi wangu waliona hili na kunipeleka shule bora kabisa Tanzania. Namna ya kufikiri ni tofauti na hata ile uwezo wa kujifunza ni tofauti say ukilinganisha Mazinde Juu na shule ya serikali ya kata Mtwara.

Iwapo una uwezo wa kufanya hivyo, peleka watoto wako kwenye best private schools. Kama hauna uwezo huo peleka watoto kwenye the best government schools (kuna milango ya nyuma katika shule zote za serikali if you know you know).
 
Inauma hii ya mtoto kukaa nyumbani balaa.Niko kwenye kipindi hiki kwasasa na moja ya mtihani naopambana nao ni haya mawazo ya kutaka kuwatoa watoto private warudi serikalini.
Nikikaa kuwatazamaaaaaa muda mwingine roho inauma nalia ndani ndani (chozi la mwanaume halionekanagi).
Kinachonisumbua kwasasa ni kwamba toka nimeamua kujiingiza kwwnye kujiajir nimesota sana mpaka kuikuza buznes mpaka hapa imefika kwenye maturity ambapo running cost zinakwenda juu na profit inakuja taratibu wakat mahitaji ya maisha nayo yanadai haswa school fees na siko tayar kuona chochote nakiacha maana nishasota mnoo kufikia hapa.
 
Mkuu uyo jamaa aliwaza nje ya box kwasababu uko mbele ajira zitatokana na uwezo wetu wazazi.
 
Kweli kbsa hasa swala la wanawake wanapend kuangalia watu wanasema je..
 
Hapo kwenye 4million hapo mmh labda ungetafuta yenye ada ya chini mbona zipo nyingi mkuu naona kama primary mtoto akipata msingi mzuri akifika secondary ya goverment kuna nafasi kubwa ya kufanya vizuri sababu watoto kinachowasumbua secondary ni lugha ya kingereza
 
You are smart
 
Ushauri wa kuishi nao huu.
 
Ni sawa lakini usiforce mambo mkuu,utanikuta unaiba saa sita mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…