Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane

Inauma hii ya mtoto kukaa nyumbani balaa.Niko kwenye kipindi hiki kwasasa na moja ya mtihani naopambana nao ni haya mawazo ya kutaka kuwatoa watoto private warudi serikalini.
Nikikaa kuwatazamaaaaaa muda mwingine roho inauma nalia ndani ndani (chozi la mwanaume halionekanagi).
Kinachonisumbua kwasasa ni kwamba toka nimeamua kujiingiza kwwnye kujiajir nimesota sana mpaka kuikuza buznes mpaka hapa imefika kwenye maturity ambapo running cost zinakwenda juu na profit inakuja taratibu wakat mahitaji ya maisha nayo yanadai haswa school fees na siko tayar kuona chochote nakiacha maana nishasota mnoo kufikia hapa.
Pole sana mkuu,uko sawa na Mimi ila tujipe moyo na tupambane ipo siku yatakuwa sawa
 
Kupanga ni kuchagua mkuu, pia usikubali kufanya kitu ambacho kiko nje ya plans zako. Una plans nzuri, hakikisha unazitekeleza.

SIyo lazima sana kuwapeleka watoto English Medium, kama hicho unachokifanya kina manufaa zaidi kwao, basi shilikilia hapo hapo.

ila pambana zaidi uweze kupata hela nyingi, uwapeleke English Medium pamoja na kuwajengengea nyumba vyote kea pamoja
 
Mimi kama wewe tu. Nilikuwa na watoto 2 wote private.

Nilienda nao vizuri kwenye ada mpaka ilipokuja CORONA. Shule zilipofunguliwa walipandisha ada kufidia ile miezi waliokaa nyumbani.

Hapa ndipo nilipoona maisha magumu maana hata shughuli zangu za kipato zilitetereka. Nilijikuta na stress kuhusu ada kuliko hata kula.

Mwisho wa siku nikasema sina yeyote wa kumridhisha zaidi ya uhalisia wa maisha yangu.
Nimepeleka wote Diamond (ada laki 4 kwa mwaka, school bus ya kurudi tu 35,000 kila mmoja kwenda nawepeleka mwenyewe asubuhi), maisha yanaenda na zile stress tupa kule.

Tunachopambania hasa kwenye English medium ni lugha, nashukuru wanangu wana msingi mzuri wa lugha kabla hata ya shule sababu ya muingiliano katika familia yetu.

Mmoja anamaliza la saba September, Mungu akijaalia ataendelea St. Kayumba atakapochaguliwa.

Kubwa na la muhimu, tuepuke sana kusikiliza wake zetu. Mara nyingi wana hofu mno juu ya watu watasema nini kuliko uhalisia wa kipato.

By the way huko Diamond nimekuta watoto wa walimu wa shule niliowahamisha wanangu nao wanasoma hapo hapo. Nililijua hilo baada ya kukutana na hao walimu wakipeleka watoto wao.
nimepata nafasi diamond na olympio, tatizo ni umbali, naishi makongo juu mkuu, gari la olympio linaishia Mlimani City, na linafika saa kumi na moja na dakika 20 so inabidi watoto waamke saa kumi na nusu kila siku then saa kumi na moja bajaj iwapeleke mlimani city kuwahi gari la shule. still naona itakuwa kuwasumbua watoto kuwaamsha saa kumi na nusu usiku kila siku. nimeona wasome tu kayumba then nitawatafutia mwalimu wa kiingereza...
 
Sababu ya kukataa school bus kuwapeleka asubuhi ilikuwa swala muda huo huo wa kuja kuwachukua, saa 11.30 asubuhi.

Uzuri shughuli zangu ni maeneo ya posta hivyo inakuwa rahisi kuwa drop saa moja na mimi kuendelea na yangu.

Jioni wanarudi na school bus mpaka kituoni ambapo ni mwendo wa dk 5 mpaka nyumbani. Naishi tabata.
 
ndo maana nimeamua wasome hapa hapa kayumba wanaamka saa kumi na mbili na nusu saa wanafanya maandalizi saa moja na nusu wapo shule
 
Sababu kuu ya kuwatoa wangu shule ya kiingereza nakuwarejesha kayumba ni uchumi lakini kama unavyo jua tena ukitaka kumuua paka lazima kwanza umpe jia baya. mimi sababu zifuatazo ndizo ambazo zinanifariji katika kipindi hiki ninacho watoa watoto wangu english medium kuwaleta kayumba.

Kwanza nina watoto watatu. Form 3( girl) std 3( boy) na std1 ( boy)

History: Huyu wa form 3 kuanzia la kwanza hadi la saba alisoma english medium na akafulu vizuri kwenda secondary. Akiwa primary alifanya mtihani wa seminary ambayo ni private na alifaulu but ulipofika wakati wa kuingia form one hela ikakata nikaona wacha nimpeleke kwanza kayumba ( ambayo alichaguliwa ) kwa matarajio kwamba baadae ninge muhamisha but uchumi bado haujakaa sawa mwisho wa siku nimeamua kumuacha hiyo hiyo kayumba ( bahati nzuri anajitahidi sana darasani/shule ipo karibu na nyumbani ana anasoma masomo ya arts/ niliona kulipa mamilioni ya hela ili mtoto asome history na kiswahili ni hesabu mbaya/ plus mtoto ananionea huruma baba yake anataka aseome shule hiyo hiyo, ana marafiki na ameizoea) so kwa huyu nitampambania tu atapata division one form four without a doubt.

sasa kwa hawa wadogo zake. sababu zangu za kujifariji ni hizi hapa:

1. nita save pesa nyingi. mtoto mmoja kwa mwaka hesabu zote ni four millions plus point, wawili inakuwa almost nine millions. nine millions times 7 is almost 63 millions. hii 63 millions bora niipeleke kwenye nyumba ili by the time wanamaliza form four at least kila mtoto awe ana nyumba yake japo ya thamani ya milioni 25 to 30. Namshukuru Mungu Alhamdulilahi nina nyumba moja. But hii ni ya kwangu, nataka watoto wangu wote watatu kila mmoja awe na nyumba yake. Kuendelea kuwaweka english medium nitatumia pesa nyingi ambazo ningeweza kuziweka kwenye ujenzi.

2. IMANI ZA KISHIRIKINA KWA BAADHI YA WAMILIKI WA SHULE : Kuna mdau alishawahi kuandika humu kwamba mtoto wako ni bora umpeleke shule zinazo milikiwa na serikali kama vile olympio na diamond au zinazo milikiwa na taasisi kubwa kubwa lakini sio hizi zinazo milikiwa na kina mr and mrs fulani kwa sababu wafanya biashara binafsi wa kitanzania wana kasumba ya kufanya makafara kwa ajili ya kukuza biashara zao... u can never tell siku gani waganga wao watawaambia wawatoe kafara watoto kadha wa kadha. Mtoto wako anaweza kuwa miongoni mwao pia. Ile ishu ya ajali ya watoto wa shule ile ya arusha watu wengi wana ihusisha na ushirikina...

3. walimu kuhamahama : Kwenye shule zetu za private zinazo milikuwa na watu binafsi kuna mchezo wa kuibiana waalimu au walimu kuhamahama kwa sababu ya kfuata maslahi. Kuhama kwa mwalimu ( hasa mwalimu mzuri) kunaweza kumuathiri mtoto kisaikolojia na kimasomo pia.

4. Wanafunzi kuhama hama( hii ni kwa sababu ya wazazi kutafuta unafuu wa ada ) believe or not , kampani ya wanafunzi ina nafasi kubwa sana katika 'furaha' ya mtoto shuleni. Mimi nakumbuka nikiwa darasa la tatu nilikuwa napenda kwenda shule kwa sababu ya msichana mmoja classmate wangu ambae nilikuwa nampenda sana, siku asipokuja shule ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu. Mwaka 94 nikiwa darasa la tatu mwezi wa kumi na mbili nikasikia tetesi amehamishiwa lindi kwa mama ake, ulikuwa mwezi mgumu sana kwangu mwaka huo.. luckily kumbe walisafiri tu baadae walirudi tena mjini daslamu na furaha yangu siwezi kuielezea kwa lugha ya kiswahili.

4. Mtoto kukaa nyumbani kwa muda mrefu ( kwa sababu ya kukosa ada ya shule, watoto mara nyingi wanakuwa wanakaa nyumbani kwa muda mrefu.) hakuna kitu kiliniuma mwaka huu kama watoto wangu kukaa nyumbani kwa mwezi mzima kwa sababu baba nadaiwa ada.

5. kujifunza ukakamavu : kusoma shule ya kiswahili kuna mpa mtoto ( hasa wa kiume) nafasi ya kujifunza ukakamavu na ustahimilivu. Anaamaka nyumbani asubuhi anaenda mwenyewe shule kwa miguu kisha anarudi nyumbani kwa miguu.

6.. watoto kufundishwa malezi ya kizungu kwenye shule za english medium.

7. walimu wa english medium wengi wao walisoma shule za kayumba.

please ongezea na wewe sababu zako
Mimi mwenyewe wanangu wanasoma shule za St.Kayumba.Haya Maisha haitakiwi kukomplikati sana,Wakati nasoma Chuo kikuu asilimia kubwa ya Vijana waliokuwa wanafanya Vizuri darasani na kuongoza,ni wale wa St.Kayumba.
 
kabisa mkuu, shule za EM gharama ni kubwa sana , kama uchumi umeyumba watoto ndio wanao teseka kukaa nyumbani mwezi mzima bila kwenda shule
kwa sababu ya kudaiwa school fees
 
ndo maana nimeamua wasome hapa hapa kayumba wanaamka saa kumi na mbili na nusu saa wanafanya maandalizi saa moja na nusu wapo shule
Naamini kikubwa ni ufuatiliaji.
Waweke karibu walimu wao kwa occasional vi elfu 5. Itakusaidia kujua maendeleo yao halisi.

By the way hao kina Diamond ni kayumba waliochangamka tu hakuna walichokosa.
 
"By the way hao kina Diamond ni kayumba waliochangamka tu hakuna walichokosa." kweli? how?
 
Mkuu kwann usitafute shule ya bei rahisi hata chini ya 1m, secondary haina shida as washapata msingi mzuri chini
 
shule ya chini ya mil moja ni worse kwa sababu inakuwa haina viwango. diamond, olympio ni laki nne kwa mwaka lakini zipo mbali sana inabidi mtoto aamke saa kumi usiku jambo ambalo si zuri, so bora asome tu ya kiswahili. anaamka saa kumi na mbili na nusu shuleni anafika saa moja na nusu
 
"By the way hao kina Diamond ni kayumba waliochangamka tu hakuna walichokosa." kweli? how?
Darasa moja watoto mia na ushee, jitihada yako mzazi kufuatilia maendeleo ya mtoto ndio ita determine ufanisi wake, japo inajinasibu kama English medium walimu English yao ya kuunga unga.

In short ni Kayumba iliyopo Upanga tu.
 
Sababu kuu ya kuwatoa wangu shule ya kiingereza nakuwarejesha kayumba ni uchumi lakini kama unavyo jua tena ukitaka kumuua paka lazima kwanza umpe jia baya. mimi sababu zifuatazo ndizo ambazo zinanifariji katika kipindi hiki ninacho watoa watoto wangu english medium kuwaleta kayumba.

Kwanza nina watoto watatu. Form 3( girl) std 3( boy) na std1 ( boy)

History: Huyu wa form 3 kuanzia la kwanza hadi la saba alisoma english medium na akafulu vizuri kwenda secondary. Akiwa primary alifanya mtihani wa seminary ambayo ni private na alifaulu but ulipofika wakati wa kuingia form one hela ikakata nikaona wacha nimpeleke kwanza kayumba ( ambayo alichaguliwa ) kwa matarajio kwamba baadae ninge muhamisha but uchumi bado haujakaa sawa mwisho wa siku nimeamua kumuacha hiyo hiyo kayumba ( bahati nzuri anajitahidi sana darasani/shule ipo karibu na nyumbani ana anasoma masomo ya arts/ niliona kulipa mamilioni ya hela ili mtoto asome history na kiswahili ni hesabu mbaya/ plus mtoto ananionea huruma baba yake anataka aseome shule hiyo hiyo, ana marafiki na ameizoea) so kwa huyu nitampambania tu atapata division one form four without a doubt.

sasa kwa hawa wadogo zake. sababu zangu za kujifariji ni hizi hapa:

1. nita save pesa nyingi. mtoto mmoja kwa mwaka hesabu zote ni four millions plus point, wawili inakuwa almost nine millions. nine millions times 7 is almost 63 millions. hii 63 millions bora niipeleke kwenye nyumba ili by the time wanamaliza form four at least kila mtoto awe ana nyumba yake japo ya thamani ya milioni 25 to 30. Namshukuru Mungu Alhamdulilahi nina nyumba moja. But hii ni ya kwangu, nataka watoto wangu wote watatu kila mmoja awe na nyumba yake. Kuendelea kuwaweka english medium nitatumia pesa nyingi ambazo ningeweza kuziweka kwenye ujenzi.

2. IMANI ZA KISHIRIKINA KWA BAADHI YA WAMILIKI WA SHULE : Kuna mdau alishawahi kuandika humu kwamba mtoto wako ni bora umpeleke shule zinazo milikiwa na serikali kama vile olympio na diamond au zinazo milikiwa na taasisi kubwa kubwa lakini sio hizi zinazo milikiwa na kina mr and mrs fulani kwa sababu wafanya biashara binafsi wa kitanzania wana kasumba ya kufanya makafara kwa ajili ya kukuza biashara zao... u can never tell siku gani waganga wao watawaambia wawatoe kafara watoto kadha wa kadha. Mtoto wako anaweza kuwa miongoni mwao pia. Ile ishu ya ajali ya watoto wa shule ile ya arusha watu wengi wana ihusisha na ushirikina...

3. walimu kuhamahama : Kwenye shule zetu za private zinazo milikuwa na watu binafsi kuna mchezo wa kuibiana waalimu au walimu kuhamahama kwa sababu ya kfuata maslahi. Kuhama kwa mwalimu ( hasa mwalimu mzuri) kunaweza kumuathiri mtoto kisaikolojia na kimasomo pia.

4. Wanafunzi kuhama hama( hii ni kwa sababu ya wazazi kutafuta unafuu wa ada ) believe or not , kampani ya wanafunzi ina nafasi kubwa sana katika 'furaha' ya mtoto shuleni. Mimi nakumbuka nikiwa darasa la tatu nilikuwa napenda kwenda shule kwa sababu ya msichana mmoja classmate wangu ambae nilikuwa nampenda sana, siku asipokuja shule ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu. Mwaka 94 nikiwa darasa la tatu mwezi wa kumi na mbili nikasikia tetesi amehamishiwa lindi kwa mama ake, ulikuwa mwezi mgumu sana kwangu mwaka huo.. luckily kumbe walisafiri tu baadae walirudi tena mjini daslamu na furaha yangu siwezi kuielezea kwa lugha ya kiswahili.

4. Mtoto kukaa nyumbani kwa muda mrefu ( kwa sababu ya kukosa ada ya shule, watoto mara nyingi wanakuwa wanakaa nyumbani kwa muda mrefu.) hakuna kitu kiliniuma mwaka huu kama watoto wangu kukaa nyumbani kwa mwezi mzima kwa sababu baba nadaiwa ada.

5. kujifunza ukakamavu : kusoma shule ya kiswahili kuna mpa mtoto ( hasa wa kiume) nafasi ya kujifunza ukakamavu na ustahimilivu. Anaamaka nyumbani asubuhi anaenda mwenyewe shule kwa miguu kisha anarudi nyumbani kwa miguu.

6.. watoto kufundishwa malezi ya kizungu kwenye shule za english medium.

7. walimu wa english medium wengi wao walisoma shule za kayumba.

please ongezea na wewe sababu zako
Hivi kama hamna uwezo huwa mnazaa kutafuta nini? Au ndo mnaamini kila mtoto huja na ridhiki yake?
 
Mi niliwahi poteza kazi nikakaa miaka minne mtaani naungaunga,na hapo sikua na kwangu. Ila namshukuru Mungu kati ya vitu ambavyo nilipigana ni kuhakikisha mtoto wangu anaendelea na shule ya English medium alioanza nayo japo alikua na vipindi vingi vya kukaa nyumbani na hata ndugu walikua wananisema sana eti nimrudishe St. Kayumba ila nilikomaa hadi mwisho na mambo yakarudi sawa. Kwa mtoto kusoma secondary za serikalini haina shida kabisa kama alisoma English medium. Ila kusoma shule za serikali primary school kwa usawa huu ni kumpa wakati mgumu sana. As long as upo kwako wapiganie wasome shule za bei ndogo ambazo unalipa hata 1.5m each kwa mwaka mbona zipo nyingi. Mpambanie elimu achana na mipango ya nyumba.
Pa1 mkuu.
 
Back
Top Bottom