Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane

Hizi shule nyingi wanafundishwa kwa kingereza lakn watoto wengi hawajui kuongea kingereza.
Zile shule Fee Zaid 3M kdgo watoto wanajitahidi.
 
Hujui 7bu lkn una furaha wazazi kutoa watoto kwenye shule za kulipia na kuwapeleka shule za ELIMU BURE. HII ULIYOIONESHA NDIO TABIA HALISI YA MU AFRICA HATA WA TANZANIA.

MAOMBI YAKE MUDA WOTE NI WANAOMZIDI KIUCHUMI WAPOROMOKE ILI WALINGANE AMA WAWE CHINI YAKE ZAIDI (KUWACHUKIA WENYE KIPATO CHA ZIADA KUWAZIDI) BADALA YA KUJIFUNZA NI KWA NAMNA GANI WANAWEZA KUWA NA KIPATO KILE.

ENDELEA KUWACHUKIA WANAO KUZIDI KIPATO ILI MAFANIKIO YAO YAHAMIE KWAKO.
 
Chukua hiyo.
 
mbona kama unatokwa povu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…