Tunapeleka barua ya uchumba Iringa tusaidieni tunatakiwa kufanya nini?

Tunapeleka barua ya uchumba Iringa tusaidieni tunatakiwa kufanya nini?

Wakuuuuuu.

Dogo anavuta chuma toka iringa kwa wabena.

Barua inatakiwa kuwa na nini?

Afanye nini?
Mambo ya mkaja wa mama sijui kofia ya babu mambo chungu Nzima ni kama unaoa bikra kubaliana na masharti yote hayo kiujumla kabla ya kujadiliwa mahari kuna mambo mengi yanayohitaji hela ,inshort ni kero mtindo mmja
 
Back
Top Bottom