Kumfumaster97 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2024 Posts 1,326 Reaction score 1,451 Aug 24, 2025 #21 Stroke said: Wakuuuuuu. Dogo anavuta chuma toka iringa kwa wabena. Barua inatakiwa kuwa na nini? Afanye nini? Click to expand... Mambo ya mkaja wa mama sijui kofia ya babu mambo chungu Nzima ni kama unaoa bikra kubaliana na masharti yote hayo kiujumla kabla ya kujadiliwa mahari kuna mambo mengi yanayohitaji hela ,inshort ni kero mtindo mmja
Stroke said: Wakuuuuuu. Dogo anavuta chuma toka iringa kwa wabena. Barua inatakiwa kuwa na nini? Afanye nini? Click to expand... Mambo ya mkaja wa mama sijui kofia ya babu mambo chungu Nzima ni kama unaoa bikra kubaliana na masharti yote hayo kiujumla kabla ya kujadiliwa mahari kuna mambo mengi yanayohitaji hela ,inshort ni kero mtindo mmja