Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Unalazimisha hoja.

Ni muhimu kuelewa kitabibu kila ugonjwa unajulikana kwa jina lake.
Kujulikana zaidi kwa ebola uswahilini hakuhalalishi Marburg iitwe Ebola.
 
Unalazimisha hoja.

Ni muhimu kuelewa kitabibu kila ugonjwa unajulikana kwa jina lake.
Kujulikana zaidi kwa ebola uswahilini hakuhalalishi Marburg iitwe Ebola.
Inakusaidia nini kuelewa plasmodium kitabibu wakati wewe ni wa malaria kufukia madimbwi, kusafisha mazingira na kupokea dawa mseto ukatumie ndugu?
 
Sijui aliyeleta huu ujinga wa kuondoa taaruki ni Nani ?

Atakuwa ni yule shujaa wa awamu Ile akiungwa mkono na kina Ngorunde. Hayo yakiendelea:

"Mabasi ya Happy Nation, Majinja, Abood, Travelers, Frester nk, yakipeleka mabasi mawili mawili tokea huko njia nzima kupitia Kahama, Singida, Dodoma, Morogoro hadi Dar kila siku."

Hii achilia mbali Mwanza, Musoma, Arusha hadi Kigoma.

Ila tuko busy kuondoa taharuki.
 
Sijui aliyeleta huu ujinga wa kuondoa taaruki ni Nani ?

Atakuwa ni yule shujaa wa awamu Ile akiungwa mkono na kina Ngorunde. Hayo yakiendelea:

"Mabasi ya Happy Nation, Majinja, Abood, Travelers, Frester nk, yakipeleka mabasi mawili mawili tokea huko njia nzima kupitia Kahama, Singida, Dodoma, Morogoro hadi Dar kila siku."

Hii achilia mbali Mwanza, Musoma, Arusha, Moshi hadi Kigoma.

Ila tuko busy kuondoa taharuki.
 
Ugonjwa wa Marburg uligundulika mji wa Marburg na Frankfurt,Ujerumani...ndio asili ya jina hilo.

Ugonjwa wa Ebola,mlipuko wake wa kwanza ulitokea Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo,kwenye kijini kilicho na mto Ebola...ndio asili ya jina Ebola.

Yamepewa majina kutokana na sehemu yalipotokea kwa mara ya kwanza.
 
Duuuh ii nchi inawajuaji wengi!! yani uko kwingine Marburg ndo inaitwa ebola

umesoma afya...ungesoma afya ungeelewa tofauti yao

Kutumia gari si lazima kujua kuna crankshaft inayohusika kwenye mchakato mzima.

Tofautisha substance na nitty gritty.
 
Bumunda linalojifanya juvi.
 

Hakuna tatizo na maneno hayo kama majina ya mahali na kuwa leo ni misamiati katika lugha kadhaa.

Ebola limekuwapo muda na ni rasmi katika kiswahili.

Hili jingine ni jipya kwetu. Kinachotushangaza ni kuwa ghafla inalitumia hili:

"Baada ya siku zote kuelezana ebola ulipokuwa kwingine kote, sasa tunataka kutoka kivingine kote."

Kwamba:

"Kwa ugonjwa ule ule utokanao na kula vitu vile vile, wenye dalili zile zile, namna ya kujikinga ile ile na madhara yale yale?"

Looh! Kulikoni mbwa wazee hawa kujifunza jina jipya?
 
Inakusaidia nini kuelewa plasmodium kitabibu wakati wewe ni wa malaria kufukia madimbwi, kusafisha mazingira na kupokea dawa mseto ukatumie ndugu?
Kwa mtu wa kawaida,asiye mtaalamu akijua malaria tu,dalili na njia za kuzuia inatosha.

Kwa mtaalam wa afya,akijua Malaria pekee haitosaidia..lakini akijua na mdudu anayesababisha,Plasmodium..na species zake,life cycle yake,namna gani anasambazwa kutoka kwa mmbu,katika hatua gani mdudu anaweza kusababisha ugonjwa,dawa gani zinafaa na kwa nini dawa hizo,namna ya kumanage ugonjwa katika hatua tofauti tofauti hiyo ni nzuri zaidi,maana ataweza kuutibu ugonjwa kwa ufasaha.
 

Tatizo kwenye nchi badala ya uwepo mbuzi na watu kama viumbe tofauti, kuna na hizi viumbe MoseKing, Kapeace zenyewe haziko na tofauti na mbuzi.

Kujadiliana kwa hoja haiwahusu bali kejeli na matusi hata kwenye mambo ya msingi.

Bure kabisa.
 
Tatizo kwenye nchi badala ya uwepo mbuzi na watu kama viumbe tofauti, kuna na hizi viumbe MoseKing Kapeace zenyewe haziko na tofauti na mbuzi.

Kujadiliana kwa hoja haiwahusu bali kejeli na matusi hata kwenye mambo ya msingi.

Bure kabisa.
Wewe ndo mwenyekiti wa uliowaita wajinga
 
Mkuu nimefukua fukua kuhusu hili Marburg. Liachwe jina hilo hilo kwa sababu ni balaa kubwa kuliko ebola.

Fungua link hii
jamaa, hili gonjwa ni terminator linapangusa kwa speed mbaya.

Kibaya ni kiwa serikali yetu inadhibiti taarifa kwa umma na kuzitoa zile zinazopaswa kutolewa kwa watoto wa shule.
 

Mkuu hawachelewi kusema tunataka kuleta taharuki. Hivi kama mbuni wanajificha kwa kuficha vichwa mchangani.

Lengo si kuonyesha hali yetu kuwa ni mbaya zaidi japo huo ndiyo ulio ukweli mchungu.

Kwanini kuwaficha wananchi leo kuwa tuna Ebola ndani ya nyumba? Wakisema tuna Ebola hata Itobo, Nzega huko ataelewa.

Kulikoni majina mapya haya leo ambako hawakuyatumia Congo, Uganda au huko Afrika Magharibi Kwa ugonjwa huo huo?

Updates za ugonjwa ziko wapi tokea kwa wenzetu 8 wa mwanzo, ambao bila shaka waliofariki walioshwa na kuzikwa kawaida?

Yule mwingine tuliambiwa alikuwa ni bwana Harusi wa kwenye hafla. Kwamba ilikwisha je?

Kwanini serikali inataka kutuhodhi sisi kama mbuzi mbuzi tu?

Hivi Jaji wa kina Adamoo asingeweza kuwakuta hawa serikali na kesi ya kujibu kweli?
 
Kuna watu ni wajuaji sana aisee.
Yapo magonjwa yanashare symptoms nyingi tu then confirmation inakuwa ni laboratory test au imaging etc ntakupa mfano
U.T.I=typhoid
Marburg virus diseases=ebola virus Diseases
GBS=ADEM
Kwa hiyo uache ujuaji jamaa, huna data unaleta ujuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…