BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Good.Tusipende kujenga taharuki kwa mambo ambayo hatuna uhakika nayo.
Waliopeleka sample maabara chini ya usimamizi wa WHO wameeleza vyema kilichoonekana.
Sisi tulio nje ya maabara tumetengeneza theory mpya ya tunachokitaka na kutamani. Ukiulizwa wewe sample ulichukua wapi na kupimia wapi?
Haya ni magonjwa yaliyo kwenye grupu moja HAEMORRHAGIC FEVER.
Yanabeba sifa zinazofanana ila visababishi ni tofauti.
Tutumie uhuru wetu wa kujieleza vizuri na kutafakari kwa kuhusisha ubongo wetu na maarifa tuliyonayo na si kufurahisha genge. Leta ushahidi wako.
Huko shuleni sijui ulienda kusoma nini na unawakilisha kundi la wajinga wengi hivi ulisoma ukaielewa ile topic ya form two inayoitwa classification kwenye biology au ulikua unakaririTumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
View attachment 2562190
"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."
Maajabu ya Mussa.
Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?
Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.
Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.
Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?
Kwenye tahadhali zilizotolewa na wizara katika namna za kujikinga, kutogusana nayo imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?
Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.
Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.
Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak
Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.
Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?
Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.
Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema, usanii wetu uliozoeleka utatuumbua.
[emoji1787]Bumundaaaaaaaaaa mjuvi
Huko shuleni sijui ulienda kusoma nini na unawakilisha kundi la wajinga wengi hivi ulisoma ukaielewa ile topic ya form two inayoitwa classification kwenye biology au ulikua unakariri
Viral wanatofautiana majina huwezi ita marbug virus ebola huo ni uzwazwa kwani huko uswahilini walikua wanajua ebola before si wameaambiwa na wataalamu sasa ajabu ni nin wakiita marbug
Hawa ni wabaya na si kama corona wa story nyingi Hawa ukileta masihara unakwenda na maji
Ebola na Marburg kisayansi (yaani in scientific details) ni magonjwa mawili tofauti. Malaria na Plasmodium kisayansi ni vitu viwili tofauti. Uswahilini plasmodium haina maana yoyote ila malaria.
"Marburg and Ebola viruses are filamentous filoviruses that are distinct from each other but that cause clinically similar diseases characterized by hemorrhagic fevers and capillary leakage. Ebola virus infection is slightly more virulent than Marburg virus infection."
Ninakazia uswahilini neno Marburg halina maana yoyote ila ebola linalofahamika kuhusiana na huu ugonjwa.
Ya nini kujikinga mvua chini ya mwembe wakati nyumba za bati zipo?
Zingatia ugonjwa huu umekuwapo katika mataifa kadhaa kabla. Ni kwa mara hii tu Tanzania imeuita Marburg kwa watanzania. Kulikoni?
Mwongozo wako tafadhali.
ili uwe na majibu lazima uende field mim sina majibu ndo maana sijaanzisha uzi au kuongea chochoteUngekuwa ulisomea la maana si ungekuwa na majibu hapa ndugu:
1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
Makelele yote kama umefungwa motor?
Jibu hoja wacha viroja.
Since yesterday naona unani quote SanaHakuna lolote, DOKTA UCHWARA WE!
Hata kwenye corona mlituambia tutakufa kama kuku.
Huu UKASUKU wa kukariri VITINI VYA MEDICAL SCHOOL ni tatizo katika nchi.
Tunatengeneza MEDICAL ROBOTS badala ya MEDICAL EXPERTS.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani ni shidaDuh hii nchi ngumu sana. Mwamba ana force tanzania tuwe na ebola kwasababu ndo inajulikana sana uswazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Unachonishangaza ni pale unapoforce Marbug iitwe Ebola eti kwakuwa huko uswahilini kwenu haifahamiki!!! Hivi una akili kweli au kichwa kimejaa samadi!?
Kama vipi itisha press.
ili uwe na majibu lazima uende field mim sina majibu ndo maana sijaanzisha uzi au kuongea chochote
Nachokushangaa wewe ni kutumia stori za vijiweni kuja na conclusion ya kinachotokea kagera
Tunamtaji mkubwa sana wa wajingaNimesoma comments zote inatosha nina conclude kwa kusema mtoa mada una political derangement syndrome.
Umekazania uswahilini uswahilini ndiyo naona hoja yako. Kwahiyo fact ni Marburg ipindishwe kisa waswahili wana ugeni na neno husika. Hii ni akili ya wapi?
Ungekuwa na hoja kama ungekuja na scientific arguments - ambazo kimsingi zingekua viable if perhaps wewe ni part of medical research team ambayo imefanya tafiti na ukagundua ni Ebola na si Marburg kama serikali inavyotanabaisha.
ili uwe na majibu lazima uende field mim sina majibu ndo maana sijaanzisha uzi au kuongea chochote
Nachokushangaa wewe ni kutumia stori za vijiweni kuja na conclusion ya kinachotokea kagera
Na my comment was very simple kwamba Hawa wadudu wanafanana na ebola lakini si ebola na umeona upo upande nao ussuport according to your comments hapa ila naona Una personal issues tu na mimiHakuna lolote, DOKTA UCHWARA WE!
Hata kwenye corona mlituambia tutakufa kama kuku.
Huu UKASUKU wa kukariri VITINI VYA MEDICAL SCHOOL ni tatizo katika nchi.
Tunatengeneza MEDICAL ROBOTS badala ya MEDICAL EXPERTS.
Ndio mim sina sababu siko field na sio part medical scientific teamHuna majibu siyo? Very good!
Kaa kwa sasa hii ngoma siyo size yako. Hii mada Iko usikokuwa na majibu wewe!
Potea bwana Baba Swalehe.Since yesterday naona unani quote Sana
Whats wrong with you bichwa komwe
Mawazo yangu hapa yako very positive na genuinely kutoa mawazo yangu kuhusu hili tatizo
Kama unadhani comment zako zinanitoa kwenye mood that is a big no naheshimu professional yangu na wajibu wangu kwa jamii
Jamii forum put an ignore button for people like you and simply I will do that have a good day
Nipo hapa Tangu mwaka 2009 hii ni I'd nyingine wewe ni Nani kunifukuza HumuPotea bwana Baba Swalehe.
Unapotosha watu, ikiwezekana hamia Facebook.
Since yesterday naona unani quote Sana
Whats wrong with you bichwa komwe
Mawazo yangu hapa yako very positive na genuinely kutoa mawazo yangu kuhusu hili tatizo
Kama unadhani comment zako zinanitoa kwenye mood that is a big no naheshimu professional yangu na wajibu wangu kwa jamii
Jamii forum put an ignore button for people like you and simply I will do that have a good day
Anachanganya ebola wana present Sawa na Marburg ingawa ebola ni more virulenceNdio mim sina sababu siko field na sio part medical scientific team
Wewe una majibu gani kama hujui hata classification ya animals and plant usinlaumu mim jilaumu wewe kwa kukariru uko shuleni