Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Hii nimejibu hapo juu, soma kwa makini si kujaza server jamani.
Server kujaa ni sehemu ya kazi yake. Tafadhali jibu matatu yale.

Mama AICC aliwaambia mje huku na hoja si kuruka ruka.

Majibu ya maswali haya tafadhali:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Cc: Humilis
 
Naona umeamua kunogesha Uzi wako,hoja za kijingajinga ili uwe na pages nyingi
 
Una maabara yako umepima wahanga ukajua ni ebola!?..hao mabwana zako mabeberu wamepima wakakwambia ni ebola!?

Umeisoma mada japo ukaelewa msingi wake au ni kurukia treni kwa mbele?

"Haya ya kuuliza a maabara za kupima tulishatoka huko. Wenye maswali yao wangali wanachemsha miti shamba huko."

Msingi wa mada ni huu:

"Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Mkazo uko hapa:

"Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?"

Hata hivyo ukipenda kuwasaidia kina Humilis na bwana Lukonge Kuna maswali hapa wanapiga dana dana tu:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Umejaza ujinga tu kwenye mada,na ile mentality ya wabongo kuombea mabaya nchi yao
 
Naona umeamua kunogesha Uzi wako,hoja za kijingajinga ili uwe na pages nyingi

Kwani wewe nani ndugu? Mbona na miye naona uliyeuamua kuonyesha ujinga wako halisi ni wewe?

FpojyuNWIAAJNp3.jpeg
 
Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

View attachment 2562190

"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."

Maajabu ya Mussa.

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.

Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?

Tahadhali iliyotolewa na wizara na kutogusana imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?

Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.

Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.

Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak

Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania

Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.

Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?

Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.

Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema usanii wetu uliozoeleka, utatuumbua.
Ugonjwa hauamuliwi na nchi kama nchi tu. Kuna WHO na ukikataa wanapiga kelele. Ugonjwa hauwezekani kuuficha. Wewe sasa unakuwa wale watu wanafika hospitali na kumwambia daktari yeye ana malaria au typhoid bila kusubiria majibu ya daktrari.
 
Marburg na ebola wapo kundi moja la virus

Filoviruses (very long viruses ) na wote ni enveloped RNA viruses na wana present na symptoms Sawa na wote hawana dawa zaidi zaidi tunatumia monoclonal antibody kutibu Mfano ansumivabb hata vaccine yake ya kuunga haijulikani bado, Zmapp
Na wote wanapimwa na RT-PCR pamoja na ELISA

Hawa ni wabaya na si kama corona wa story nyingi Hawa ukileta masihara unakwenda na maji

Ulichoandika ni ukweli mtupu. Ajabu ni kuwa wanaoujua ukweli huo wengine wamechagua kuwa wapotoshaji. Kuwaaminisha wasiojua cynically kuwa Marburg si Ebola (ambao ni ukweli) na kuwa with Marburg tuko vizuri (ambao ni upuuzi).

Kwamba wanacheza na lugha kulikimbia tatizo mabus yakiendelea kuchanja mbuga kama vile hakuna jipya.

Aina gani ya watu walio na dhamana ya afya zetu hawa?
 
Hivi una uwezo hata wa kuandika sentence 2 zezeta wewe?

Hiiiiiii bagosha! [emoji1787][emoji1787]
Unachonishangaza ni pale unapoforce Marbug iitwe Ebola eti kwakuwa huko uswahilini kwenu haifahamiki!!! Hivi una akili kweli au kichwa kimejaa samadi!?
Kama vipi itisha press.
 
Ujinga ni mzigo. Unavyopambana na uzi wako kusambaza ujinga wako ungetumia nguvu hiyo kutafuta pesa.
Ulichoandika ni TAKATAKA

Unayasoma wapi haya unayoandika hapa ndugu? Umeamua kuota ndoto chighafla? Umeyaona majibu hapa:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Magwiji wa wizarani wamemwaga mbio.

Mwongozo wako tafadhali.
 
Unachonishangaza ni pale unapoforce Marbug iitwe Ebola eti kwakuwa huko uswahilini kwenu haifahamiki!!! Hivi una akili kweli au kichwa kimejaa samadi!?
Kama vipi itisha press.

Kama nchi tuna tatizo kubwa. Mollel aliwaona watu kama wewe msiojua kuwa hamjui:

FpojyuNWIAAJNp3.jpeg

Pole lakini.
 
Back
Top Bottom