Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

👇
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Kama mhalifu mwenyewe unaemzungumzia ni hawa Panya Road basi wacha Mkuu wa Nchi aendelee kukaa kimya tu mpaka waishe wote, hakuna jinsi. Ila ithibitike ukweli ni Panya Road, sio kusingiziana.
 
Nahisi hamuwezi muelewa mleta mada mpaka itapokufikia lililomfikia Catherine Ruge.
Naandika kwa ufupi kwa huzuni nikiona watanzania wako nyuma kujustfy mauaji yasiyo ya haki.
 
Unawezaje ukaanza kuwatetea watu Kama panya Road walioua kujeruhi kupora watu Mali zao na kuwatesa watu wasio na Hatia? Unapata wapi ujasiri wa kuwatetea vibaka Kama hao waliokatisha maisha ya binti mdogo aliyekuwa Hana Hatia? Unapata wapi nguvu za kuwatetea hao vibaka waliowapa watu vilema vya maisha? Unapata wapi ujasiri wa kuwasemea kwa kuwatetete vibaka hao walioacha simanzi kwa familia nyingi zinazolia kila siku? Bila Shaka wewe Ni mfadhiri wao au mhusika au mnufaika wa uharamia uliokuwa unafanywa na hao vibaka,

Jibu Ni moja kwa hao vibaka kuwa watateketezwa wote bila kuacha masalia, watapukutishwa wote, watasambaratishwa wote, watasakwa popote pale walipo na Kama na wewe Ni mhusika hautakwepa mkono wa serikali hii, Kama ulitaka kuona watu wakiishi kwa hofu Basi juwa kuwa nafasi hiyo haipo Bali Sasa Ni mwendo wa majuto kwa vibaka hao, Hakuna muda wa kuwabembeleza kwa Sasa, hakuna majadiliano nao Tena, Lazima wasalim Amri Tena wakiwa kanisani , wataswagwa wote bila kuachwa kibaka yoyote, hutaki Basi andamana ili na wewe udakwe na kunyakuliwa kama kifaranga Cha kuku
 
Yule dogo mnaodai wanajinyonga vituo vya polisi wamewakosea nini?
Na wale wanaovamiwa usiku na hao panya road, kuvunjiwa nyumba zao, kuumizwa, kunyang'anywa vitu walivyonunua kwa jasho lao na baadae kuuwawa huwa wamewakosea nini hao panya road? Mfano mzuri ni ile familia iliyovamiwa kawe, kuibiwa, kujeruhiwa na baadae kale kasichana kadogo kuuwawa bila hatia. Je kosa lao lilikuwa ni nini?

Hivi wewe ndo ungekuwa baba, kaka au ndugu wa yule msichana alieuwawa kule Kawe, ungekuja kuandika ushuzi wako huu hapa?
 
Ukianza wizi na ukibaka wananchi tunakutia mawe na unakufag

Ukipanda cheo kuwa jambaz au panya mapolisi watakutia risasi na utakufa.

Waharifu wa namna hiyo ni kuwaua tu, tena kwa mateso.

Wengine achen uhalifu
Wahalifu wanaopora Mali za umma kwa kufanya ufisadi na ubadhirifu nani anawashughulikia?
 
Mkuu tupe nukuu yako ya Magufuli alipopotea Saanane na Azory Gwanda.
Magufuli alikuwa makini sana katika mambo hayo.
 
Yashughulikieni hukoo! unasikia kingai!??!!
 
Mkuu huyu ni SKM Gang, mtu wa Mwendazake siku nyingi.
Na post zake zote ni kumpinga Mama Samia, licha ya mazuri anayofanya.
 
We ni panya road?
 
Mlipo kuwa mnawatuma hao panya road mkiamini mnaichafua serikali ya mama SSH haM
mkulijua hilo?
 
Mm mpinzani lkn naunga mkono hii hoja,hao panya road wauliwe
 
Mm mpinzani lkn naunga mkono hii hoja,hao panya road wauliwe
Kweli mkuu, hatuwezi kuwalea lea hawa mbwa kwa sababu ya kuendekeza siasa uchwara zilizoshindwa kuwaweka madarani hata hao wapinzani wenyew huko nyuma.
Kama anategemea kura kutoka katika familia za panya road na majambazi basi ajue imekula kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…