Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Kwa hiyo umeona wanaouwawa ni panya road tu? PumbavuShukuru polisi wanaua kwa risasi, raia wangechoka hasira zikawajaa wangekufa kifo kigumu. Upanya haulipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo umeona wanaouwawa ni panya road tu? PumbavuShukuru polisi wanaua kwa risasi, raia wangechoka hasira zikawajaa wangekufa kifo kigumu. Upanya haulipi.
Kama kuna asiye panya ameuwawa pole(RIP). Upanya haulipi.Kwa hiyo umeona wanaouwawa ni panya road tu? Pumbavu
Kama mhalifu mwenyewe unaemzungumzia ni hawa Panya Road basi wacha Mkuu wa Nchi aendelee kukaa kimya tu mpaka waishe wote, hakuna jinsi. Ila ithibitike ukweli ni Panya Road, sio kusingiziana.Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anataka watu wamalizwe.
Na wale wanaovamiwa usiku na hao panya road, kuvunjiwa nyumba zao, kuumizwa, kunyang'anywa vitu walivyonunua kwa jasho lao na baadae kuuwawa huwa wamewakosea nini hao panya road? Mfano mzuri ni ile familia iliyovamiwa kawe, kuibiwa, kujeruhiwa na baadae kale kasichana kadogo kuuwawa bila hatia. Je kosa lao lilikuwa ni nini?Yule dogo mnaodai wanajinyonga vituo vya polisi wamewakosea nini?
Wahalifu wanaopora Mali za umma kwa kufanya ufisadi na ubadhirifu nani anawashughulikia?Ukianza wizi na ukibaka wananchi tunakutia mawe na unakufag
Ukipanda cheo kuwa jambaz au panya mapolisi watakutia risasi na utakufa.
Waharifu wa namna hiyo ni kuwaua tu, tena kwa mateso.
Wengine achen uhalifu
Mkuu tupe nukuu yako ya Magufuli alipopotea Saanane na Azory Gwanda.Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anataka watu wamalizwe.
Yashughulikieni hukoo! unasikia kingai!??!!Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anataka watu wamalizwe.
Mkuu huyu ni SKM Gang, mtu wa Mwendazake siku nyingi.Binafsi nahisi mleta mada na yeye ni panya road au ni mnufaika wa uhalifu unaofanywa na panya road. Hawa ndio wale watu ambao hununua vitu mbali mbali vya bei chee kutoka katika makundi hayo ya panya road.
Kwahiyo wakiuwawa mleta mada atakosa watu wengine wa kumletea mizigo ya wizi ya bei chee, ndo maana amekimbilia huku kulalamika ili apate uungwaji mkono na hatimae polisi isitishe zoezi lake la kuwaangamiza wahalifu na wauaji hao.
Bora polisi ingekuwa inapitia na huku mitandaoni kuwachunguza na kuwafuatilia hawa wanaoonesha kukerwa na hatua zinazochukuliwa na serikali katika jitihada za kurudisha amani na usalama jijini Dar es salaam na nchini kwa ujumla.
We ni panya road?Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anataka watu wamalizwe.
Mlipo kuwa mnawatuma hao panya road mkiamini mnaichafua serikali ya mama SSH haMKila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anataka watu wamalizwe.
Mm mpinzani lkn naunga mkono hii hoja,hao panya road wauliweAcha kulalamika mjomba kama wao waliuwa basi acha na wao wauwawe. Umeshaambiwa kuwa "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI".
Hao mbwa koko wenu walizingua mpaka kuifanya nchi ionekane haina serikali. Sasa kibao kimewageukia unakuja kulalamika.
Mbona wakati wao (panya road) wakifanya uhalifu wa kuvunja nyumba za raia, kuiba, kujeruhi na mpaka kuuwa raia wasiokuwa na hatia mbona haukuja kuandika ushuzi wako hapa kwa waliyoyafanya?
Nashauri polisi isisitishe oparation hii mpaka ihakikishe nchi inarudi kuwa mahali salama kwa kila mmoja wetu kuishi kwa amani na furaha.
Kweli mkuu, hatuwezi kuwalea lea hawa mbwa kwa sababu ya kuendekeza siasa uchwara zilizoshindwa kuwaweka madarani hata hao wapinzani wenyew huko nyuma.Mm mpinzani lkn naunga mkono hii hoja,hao panya road wauliwe